Kalale tu ndugu yangu hata huko kwenye mabonde ni kukame vyura hakuna wakati huu utakutana na Ng'e na mijusiMimi bado natafuta chura kwa ajili ya Valentine day!
Mimi bado natafuta chura kwa ajili ya Valentine day!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kalale tu ndugu yangu hata huko kwenye mabonde ni kukame vyura hakuna wakati huu utakutana na Ng'e na mijusi
Mimi bado natafuta chura kwa ajili ya Valentine day!
Itakua hanitaki huyu anataka kubania nafasi tu wenzie. Chura wa nini wakati mi nafuga hao wengi tu.Mkuu Umeniacha hoi hahaha Kwani Mzigua hana Chura Mkuu...
Au unatafuta ilionona ya kuipiga Kofi.....[emoji30] [emoji30] [emoji2] [emoji6]