Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

Mrejesho wa mpenzi wangu 'mtoto'

Kitu sielewi ni hiki.

UNALALAMIKA KABISA KUWA MTU HUMWELEWI.

ila unaamini ndoa ndo Commitment.

Saaaaasa MNAJICOMMIT VIPI KWA MTU UNAONA KABUSA HUMWELEWI?
yani unahitaji vipi hii commitment?
Hata kama atafanya?
Sielewi.
 
Mkuu umewahi kukaa kwenye mahusiano ambayo umechoka kuona drama kila siku? Ndio situation ambayo ninayo. Nimechoka. Nimegive up. Ningekuwa nataka kurudi aliponitafuta tu, ningemkimbilia. Na siwezi kurudi unless nione vitendo vimebadilika. Ndipo trust yangu inaweza kuanza kujijenga upya. Sasa hivi nikirudi, sitakuwa na amani wala furaha. Simuamini.
Ila unataka ajicommit.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwenyezi Mungu atufanyie Wepesi wanawake tupate wanaume wakweli.

Dada Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika hili.
 
Back
Top Bottom