ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Kipindi cha magu njaa iko juu sana kwakweli,sijui shida ni nini.Ahaaaaa pole sana mkuu
Umenikumbusha jana kuna demu nimemtokea leo kaniomba elf kumi aisee nimemushangaa sana kwa kweli
Nilimwambia jibu moja tu dada punguza njaa na niondolee njaa zako hapa then futa namba yangu mpuuz mkubwa wewe
Nywana gete
Taarifa hizi ni kweli tupu. Kuna uzi unaoongelea mambo ya "Badoo" humu, utafute uone madanguro ya mtandaoni. Ile MMU kitengo cha love connect ni "mini danguro". Kuna wanaojiuza kwa kisingizio cha kutafuta wachumba. JF is more than you have ever imagined!Pole sana...
Inasikitisha sana kama hizo taatifa ni za kweli...
Asiyekujua, wala hajawahi kukuona hawezi kuwa na huruma na wewe...
Cc: mahondaw
amekuambia empetha wewe unampa tigopetha, hahahahahhaahahNi 0712345678
Ndio maana inaitwa great thinkerTaarifa hizi ni kweli tupu. Kuna uzi unaoongelea mambo ya "Badoo" humu, utafute uone madanguro ya mtandaoni. Ile MMU kitengo cha love connect ni "mini danguro". Kuna wanaojiuza kwa kisingizio cha kutafuta wachumba. JF is more than you have ever imagined!
MhKapeace nitoe buku tano fasta kama vipi nimeugua ghafula[emoji2]
KashesheMsaidie jamaa hapo basi
Duh nilifanya dhambi jana sijui mwenye nayo huko alipo ngoja nijaribu kuipiga nione km itaitaMacho ya kiroho yananiambia kuna watu wanaitafuta sana hiyo namba bila mafanikio
Namba unreachableIle namba ilikuwa ya Nani?
Why are you trying to be a genius????Mizinga muhimu,
kipimo mnachotumia kuona kama sisi ni wachunaji,ndicho hicho hicho tunachotumia kuwapima kama mmekomaa na mpo tayari kuchukua majukumu ya familia,siku zote baba ndio anahudumia familia sio mama πππ
I am being myself,why should I try to be genius??Why are you trying to be a genius????
Then you are a GENIUS ladyI am being myself,why should I try to be genius??