BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 723
- 1,019
Nashukuru, wala haishi kwa hofu yani ndo suruhu ishapatikana hivo sahv aman tu. Ila siachi kukaza mzee!
Hakuna amani hapo, sababu mkeo anaishi kwa hofu na ndio sababu mmepata utulivu.
Kimsingi ili ndoa idumu, hampaswi kutunza/kurundika matatizo na tofauti zenu. Nafikiri mnapaswa kuzungumza na kupata suluhu ya kila Jambo ama tofauti inapo tokea kati yenu.
Mfundishe mkeo atambue nafasi yake na mipaka yake kwako wewe mume wake pamoja na utii, alkadhalika nawewe itambue nafasi yako Kama mume na kikubwa mpende mke wako.
Ushauri wangu ndio huo, mindio natoka bar saizi..[emoji482]