mkuu naona unawatafuta wanadini waliko, maandiko ya bibilia yanasema binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, yaani wwe unafana na Mungu
Qur an imetaja Sifa za Mwenyezimungu
1) Hakuzaa wala kuzaliwa
2) Hana Baba, Mama, Ndugu au Jamaa wa aina yoyote
3) Hafanani wala hamithiliki na chochote
Kuamini MwenyZimungu anafanana na Binadamu ( tumeumbwa kwa Mfano wake ) ikimaanisha nae Ana 'Chura', Kifua, Miguu, sehemu za Siri ni Shirki na Kufru ya Kiwango cha Juu zaidi.
Astaghfirullah sabaa marrat!