Unashangilia ujinga badala utafute mume uolewe utulie unaruka ruka mwisho uje umpelekee kijana wa watu atakaejipendekeza kukuoa kitu kama hiki....Jamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.
Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Kipindi hiki tutakuwa tuna tumia kinga aisee. Sikujua kama nilikuweka kwenye hali ya wasi wasi kiasi hiki.Jamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.
Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Kwa hiyo tarehe 7 uliliwa?Jamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.
Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Nchi ngumu hii, mimba inaogopwa kuliko magonjwaMkuu Hongera sana.
Nenda kajipongeze kwa walau bao mbili. Zote amiminie ndani.
Unastahili kujipongeza.
Ila Watu mna Siri, yaaani Sisi tuko busy na Umeme, Mkaa, Maji, sukari na misiba! Kumbe kuna watu wanamwagiana ndani? DuhJamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.
Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Nafikiri kabla hajaenda ndio angetuambia ili tumshaur vizuriNa ukienda kufanya tena uje utuambie ili tukushauri mkuu
Tena akampa yote yotee😂😂Ila Watu mna Siri, yaaani Sisi tuko busy na Umeme, Mkaa, Maji, sukari na misiba! Kumbe kuna watu wanamwagiana ndani? Duh
Wakati wengi tangu mwaka upinduke hatujaonja😂Ila Watu mna Siri, yaaani Sisi tuko busy na Umeme, Mkaa, Maji, sukari na misiba! Kumbe kuna watu wanamwagiana ndani? Duh
Jamani kwema?
Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.
Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Aiseee Kaka hii ni Mimi Kabisa kabisa! Dah Ninashangaa wengine wamewezajeWakati wengi tangu mwaka upinduke hatujaonja😂
Hii dunia ngumu sana! Dah hadi akasahau kifanyioTena akampa yote yotee😂😂
Mwenye dhambi huna Amani, dahUlipoandika uzi wa mwanzo ilikuwa siku ya 19...
Unapoandika uzi huu leo ni siku ya 22...
Subiri hadi baada ya siku 10 hivi hiyo mistari miwili itajitokeza tu...
Amigo....[emoji12]
Nimeitika comrade..😜Comrade Heshima Yako Mkuu
Amigo, Kigoli Alichungulia Kaburi Sasa Inabidi Akalione Kabisa😂😂Nimeitika comrade..😜
Naona unazidi kupambana...🤣
Mwenye dhambi huna Amani, dah