Mrejesho: Sijui atamwambia wife?

Mrejesho: Sijui atamwambia wife?

martins paul

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
22
Reaction score
12
Wakuu,

Juzi nimenusurika na janga baada ya kunyata kwenye chumba cha mgeni binamu wa wife kutoka Moshi. Binti huyo sikujua kama ni mlokole hivyo akaanza kunikemea kwa lugha nisiyoijua na kutishia kupiga kelele. Ndipo ikabidi nikimbie kurudi chumban kwetu.Nashukuru mungu hajamwambia wife hadi sasa na anaondoka kesho maana sijaona wife akiwa na mabadiliko yoyote hata majina ya honey, baby bado anayatumia kuniita ila yule mlokole ndo hatujaonana tangu siku ya tukio maana nmkwepa narudi usiku mwingi nimemdanganya wife nachelewa kutokana na mvua zinazoendelea roads zote zimefungamana

Ombi langu kwenu kwa kweli hii tabia binafsi siipendi basi ni shetani tu na pombe. Niombeeni niweze kuiacha hii tabia maana hata ma housegirl siku za nyuma mimi ndo nilikua nawafukuzisha kazi akifika mpya baada ya wiki naenda usiku chumbani mwake nagonga akifungua namuonesha elfu kumi ananiingiza ndani tunaendelea baadae namwambia wife binti hana adabu na ni mdokozi simtaki mfukuze kazi. Akileta housegirl mwingine nafanya hivyo sasa wamefika 4 Ila kwa ma hosegirl nimeacha bado tu kwa wageni wa kike.

Kuna shangazi wa wife alikuja kwetu umri wake umeenda lakini kaumbika mno nikagonga mlango wa chumba chake usiku wife akiwa amelala alipofungua nikaanza kumlilia hali huku nikimwonesha elfu hamsini nilyokua nimeshika mkononi ambapo alinivutia ndani na kufunga mlango haraka na tukafanya tendo la ndoa. Asubuhi pombe ilipoisha ndo nikaanza kujutia kitendo kile

Nimeshafanya hivyo na ndugu wengi wa wife na binam zangu wawili. Nikidhamiria kuacha tabia hii najiwekea na viapo kabisa lakini cha kushangaza akija tu mgeni wa kike alie na wowowo najikuta narudia tena. Ila huko nje sijawahi kutongoza wala kuzini na yeyote ni ndani tu. Safari hii nimedharia kuacha kabisa ndugu zangu.

Siku moja kanisani mchungaji alitoa changamoto kwa wanandoa akasema wanawake wote wanaoamini waume zao ni waadilifu na hawachepuki wawashike husbands zao mkono waje nao huku mbele nakumbuka wife alinishika haraka haraka kunipeleka mbele ndo siku hiyo nikajua ananiamin sana. Ingawa karibu wanandoa wote walitoka mbele hakuna aliebaki

Nimeeleza haya ili muone uzito wa tatizo langu na mniombe liishe

Wenu mtiifu
 
hahahahahahah.....du...aiseee....very Motivating...ngoja waje wazee wa swaga za kanisani....
 
Haa wewe hata tukikushauri huwezi kuacha labda mkeo ajue kwanza ndio ama uache au aache kupokea wageni wa kike
 
Kwa jina la Yesu, pepo wabaya waliokuvaa washindwe ktk jina la Yesu. Yakobo 4: 7-8 "7. Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. 8. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili".
 
martins paul, Pole sana....Kwa kutenda uhaini na dhuluma kwa ma housegalz !! (lazima uwatafute na uwaombe radhi) laa sivyo Subiria Jahanamu ya dunia na Ya Akhera itaikuta !!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie waifu wako atakusaidia kuliko hapa.
 
Ukizoea kula nyama ya mbwa siku zote huwezi kuacha,zaidi utapunguza tu hiyo tabia maana huonekani ukifanya kazi ya kuacha,kama kweli unataka kuacha mwambie mkeo ulilolifanya na tabia yako ilivyo.
 
Kama ni kweli acha pombe na sio umsingizie pepo maana hali kama hiyo imeshwahi kunipata
 
wife hatambwambia Ila Atamwambia Mama Mkwe, wako
 
Pombe + shetani polen sana. Dah mtu anamlala shangazi wa mkewe? Dah na waifu wako sheeeda kweli umalaya huu wote hajaujua???? Hongera
 
Acha pombe, anzia hapo kwanza. Usipoacha pombe hiyo tabia huwezi acha na za mwizi ni arobaini kuna siku mkeo atakudaka tu, au mtu atamwambia.
 
mwisho wa siku utakujanyatia hadi mama mkwe
Kuwa makini na mipombe yako isikuendeshe
 
Kwa upande wa binamu bado hujakwepa kitanzi maana kama waswahili walisema "Kimya kingi kina mshindo mkuu".....hapa jiandae tena jiandae hasa....ila tabia yako kama ya mtoto mlamba sukari au teja yaani kuacha ni kazi ngumu.
 
Katika kuachana na jambo lolote Dhamira ni kitu muhimu sana. Kwa kuwa dhamira imekutuma kuachana basi utaacha hata kama itakuchukua Muda. Waone wataalam wa masuala ya saikolojia na pengine hudhuria kliniki za mapenzi. Lakini lililo muhimu zaidi inua mikono juu na kumuomba yeye alie juu ili ktk yeye akutie nguvu.
 
Back
Top Bottom