Mrejesho: Nipo njia panda

Pole Mkuu Najua maumivu yake yalivyo!! Bila Shaka huyo hajafikisha hata 24 yrs... Ni mtoto, mtu mzima hawezi kufanyaa upuuzi Kama huyo... Sasa cha kufanya wewe mpotezee mazima... Usimtafute wala nini, ikiwezekana mblock kila mahali halafu futa namba zake, let her go... Ila nakuhakikishia lazima tu wataachana muda si mrefu, na atakutafuta... Hana msimamo huyo mtoto... Wanawake wako wengi sana ndg yangu hawaiishi. Jitahidi uepuke distance relationship kadiri iwezekanavyo. Huyo mdada amekudanganya, ukweli ni kwamba huyo mwanaume Alitoka nAe hapo hapo chuo wakaja Huku dar. Probably ni mwanafunzi mwenzie.
 
Duuuhh, pole sana. Hakuna maumivu makali kama ya mapenzi.

Watu ambao ni waathirika wa madawa ya kulevya au pombe wanapoamua kuacha hushauriwa kuacha taratibu. Kubali kuwa mchepuko wake huku ukiiandaa akili yako kuachana kabisa.
 
Wakati nasoma uzi huu nlikumbuka Pastor HIZZA wa CCT udsm huwa anapenda kusema hivi

"Binti/kijana ukikataaa akakwambia sikupend, tuachane. Unachotakiwa kufanya ni kupangusa mikono na kumshukuru Mungu kwani hujui kakuepusha na nini! Siku ya ibada ikifika nenda toa sadaka, sema asante mungu"

Then endelea na maisha, hakuna sababu ya kulaumu wala kusononeka.
 
Jikaze sana ingawa ni shida on a Mungu akuvushe kwenye kipindi hichi then subiri mrejesho kutoka kwa binti
 
Atarudi tu Atakapoumizwa Tena na Huyo jamaa.. Unajua Wanawake Wanapoombwa msamaha wanaona Jamaa Atatulia Ila Wanaume akikubaliwa Msamaha Huwa anaona Kama Kapewa Chance ya Kuchepuka Zaidi maan Anajua Atasamehewa One day...

Kwahiyo Vuta Subira Atakuja na Magoti atapiga
 
mkuu pole sana,hiyo situation ni ngumu sana aisee,huyo dada ni mkatili aisee(ingawa si sahihi sana kumhukumu sababu ana haki ya kuwa na mtu anaempend), ninachoona wakati mnaanza uhusiano wenu alikua hajamsahau mtu wake , pengine wewe alikutumia kujipumzisha baada ya kuacha na huyo mtu wake wa awali na siku zote alikua anasubiria kurudia kwa penzi hilo, hili ndili ambalo naweza kusema, ni mara chache sana wapenzi waliachana katika mazingira ya huyo dada wakurudiana na kudumu,achana nae kabisa hadi may 2016, watakua wameshaachana na huyo mtu wake anaemuita wa "future" akija usimpe nafasi muache akafunzwe na walimwengu.
 
Mweleze wazi kwamba haupo tayari kua mchepuko, mtakie heri huko aendako na uwe na moyo wa uvumilivu huku ukijitahidi kuchukulia changamoto hiyo kama daraja lako la kumpata mzuri zaidi ya huyo. Usisahau kumtanguliza Mungu katika hilo
 
Ahsante kwa ushaur mkuu
 
Ahsante kwa ushaur dadang
 
Dah!nimesoma hii kitu yako mkuu inaumiza kweli lakini yote ni mapito ndo yanakufanya kuwa imara zaidi..Mwombe sana Mungu ndiye faraja yako kwa sasa na utasahau pole sana
 
Wakati nasoma uzi huu nlikumbuka Pastor HIZZA wa CCT udsm huwa anapenda kusema hivi

"Binti/kijana ukikataaa akakwambia sikupend, tuachane. Unachotakiwa kufanya ni kupangusa mikono na kumshukuru Mungu kwani hujui kakuepusha na nini! Siku ya ibada ikifika nenda toa sadaka, sema asante mungu"

Then endelea na maisha, hakuna sababu ya kulaumu wala kusononeka.

shukrani kwa ushaur mkuu
 
Dah!nimesoma hii kitu yako mkuu inaumiza kweli lakini yote ni mapito ndo yanakufanya kuwa imara zaidi..Mwombe sana Mungu ndiye faraja yako kwa sasa na utasahau pole sana

Ahsante sana mkuu,pia nashkuru kwa ushaur wako
 
Mweleze wazi kwamba haupo tayari kua mchepuko, mtakie heri huko aendako na uwe na moyo wa uvumilivu huku ukijitahidi kuchukulia changamoto hiyo kama daraja lako la kumpata mzuri zaidi ya huyo. Usisahau kumtanguliza Mungu katika hilo

Merry chrissmass
 
Duuuhh, pole sana. Hakuna maumivu makali kama ya mapenzi.

Watu ambao ni waathirika wa madawa ya kulevya au pombe wanapoamua kuacha hushauriwa kuacha taratibu. Kubali kuwa mchepuko wake huku ukiiandaa akili yako kuachana kabisa.

Shukrani kwa ushaur mkuu,ila kiukweli siwez kuwa mchepuko.maana ipo ck watakuwa wote,ina maana itambid aniblock tena.ntajickia vibaya tena.
 
Pole Mkuu Najua maumivu yake yalivyo!! Bila Shaka huyo hajafikisha hata 24 yrs... Ni mtoto, mtu mzima hawezi kufanyaa upuuzi Kama huyo... Sasa cha kufanya wewe mpotezee mazima... Usimtafute wala nini, ikiwezekana mblock kila mahali halafu futa namba zake, let her go... Ila nakuhakikishia lazima tu wataachana muda si mrefu, na atakutafuta... Hana msimamo huyo mtoto... Wanawake wako wengi sana ndg yangu hawaiishi. Jitahidi uepuke distance relationship kadiri iwezekanavyo. Huyo mdada amekudanganya, ukweli ni kwamba huyo mwanaume Alitoka nAe hapo hapo chuo wakaja Huku dar. Probably ni mwanafunzi mwenzie.

ahsante sana, pia shukrani kwa ushaur mkuu
 
Back
Top Bottom