Wacha niweke picha kwenye avatar yangu sasa. Naona mambo mazuri humu. Hongera kwa wanandoa watarajiwa. Ingependeza sana Kama mngetupa baadhi ya members kadi za mchango na hatimaye tuje kuvunja buffet na drinks

Hongera dada yetu,Mwombe MUNGU,ndoa yenu istawi km mtende,na uwaombee na wengine walio na uhitaji km uliokuwa nao wewe ili waweze kufanikiwa.maisha mema Donatila.