Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Wakuu,
Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata!! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta tu casual dates.
Sasa kuna mapopoma walitoka povu eti why on JF, mtaani sijaona? n.k. Hawajui tulionao mtaani au huku uraiani ndio hawa hawa walioko JF, so it makes no difference. Kwahiyo mmeumbuka, Naomba mtu akisema anatafuta, muacheni apate.
Ova.