Mrejesho: Nimepata mpenzi JF, mliohoji why on JF

Mrejesho: Nimepata mpenzi JF, mliohoji why on JF

Hiyo mionekano mnayotafutaga kwa mabinti wa wenzenu utafikiri na nyie mna mionekeno mizuri mi naona haina maana!!!! Mwanaume unakuta una sura ngumu mtu akikuangalia mara moja imetoka hataman tena eti nawe unatafuta muonekano ptuuuuu
Mhhhh MBAYAA
 
Nampa hongera huyo mpenzi,amekukoleza fasta hivyo....hata mwezi bado!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom