Mtu mzito
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 1,779
- 3,183
Salaam ndugu zangu
Wiki iliyopita nimeleta tatizo langu hapa linalohusiana na mimi kujikuta ni mhanga wa kufanya tendo la ndoa na wasichana wengi, na pia nilikuwa nashindwa kujizuia kuacha kufanya ngono yaani kama navutwa.
Wapo walionishauri kwa hekima kubwa na wapo walionidhihaki ila bado sikuchoka kuomba ushauri na kuendelea kuwa mvumilivu kwa kila jibu.
Wapo walionishauri nikawaone wanasaikolojia
Wapo walionishauri nina pepo hivyo niende Msikitini/Kanisani kuombewa
Wapo walionishauri kuwa nina jini mahaba hivyo niende kwa mganga wa kienyeji kufanyiwa tiba.
PIA WAPO WALIONISHAURI KUFANYA MABADILIKO
Nibadili aina ya marafiki
Nibadili aina ya maeneo ninayokwenda
Nibadili mwenendo wangu kwa ujumla na kuwa nyumbani mda mwingi pindi tu nitokapo ofisini.
IPO MICHANGO ILIYOHITAJI UVUMILIVU
Pamoja na heshima yangu, wapo walioniambia "utaacha tu ukigongwa tigo"
Wapo walioniambia muongo
Wapo walioniambia najiendeza.
NILICHOFANYA HADI SASA
Wiki yote hii sijajihusisha na mwanamke yeyote kimapenzi zaidi ya mke wangu (jambo lililo shindikana kwa takribani miaka saba) na niliona kama laana itanikumba iwapo nitarudi huko haswa nikizingatia zaidi ya watu mia sita wamenikanya.
Bado sijakwenda popote kupata maombi ila tu maandiko yenu yamekuwa ni dawa tosha kwangu na nikifanya uovu nahisi kama mtaniona, na sasa najihisi ni mtu mpya kabisa.
Wapenzi wapo walio ninunia, wapo walioniona nimepata wengine hivyo nimewatupa, sijali naangalia mwenendo wa maisha yangu na kesho ya wanangu.
Katika uzi ule uliokuwa na mwitikio mkubwa umeonyesha wazi kuwa tatizo hili ni kubwa kwani wengi walijitokeza na kusema wapo kama mimi, nawaombea na wao wabadilike kwani sio sifa na maradhi mengi.
Akhsanteni ndugu zangu kwa ushirikiano wenu na sina cha kuwalipa