Nashukuru wadau kwa ushauri wenu jinsi ya kufanya mapenzi,kwakwel mpenz alipagawa na kasema penz langu tamu hataniacha
Nashukuru wadau kwa ushauri wenu jinsi ya kufanya mapenzi,kwakwel mpenz alipagawa na kasema penz langu tamu hataniacha
Uliyefanya naye ni mkeo au mumeo?
Nimeota ndoto umepata ukimwi, halafu umekonda umebaki mifupa mitupu.
Watu 8, kumbe na wewe suala la jinsi linazingua, mie nmeamua kuwauliza wana CC wamesema nije huku labda nitajua jinsi za wana jf.
Natumia simu hapa hivyo sioni avatar na hata maelezo ya mleta mada hayapo bayana kutambulisha jinsia yake...
[/B]
Haha haaaa!!!
Hapo kwa bold time will tell.
Ahhahahaha mwambie huyo.....hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo