Hahaaa mimi nkibonyeza 9 nanunua 4"kuoa ni kama kuchagua maparachichi, unabonyeza tisa unanunua moja"
na hilo moja ukienda nalo kulipasua nyumbani unagundua ndio lililooza"kuoa ni kama kuchagua maparachichi, unabonyeza tisa unanunua moja"
😀😀😀😀😀😀na hilo moja ukienda nalo kulipasua nyumbani unagundua ndio lililooza
Ha ha ha ha yote hayoHahaaa mimi nkibonyeza 9 nanunua 4
Nibonyeze 9 nichukue moja ntakua sio mwafrika mimiHa ha ha ha yote hayo
Wakuu awali ya yote NIWASHUKURU kwa mawazo yenu yenye tija na nguvu katika hatma ya maisha ya ndoa yangu, nimeamua haya mambo nitakayo yafanya baada ya kupata ushauri wenu.
1.NIMEAMUA KUACHANA NA MKE WANGU RASMI.
2.NITAMRUHUSU AENDE NA MTOTO WANGU NA MIMI NITAMSAIDIA KATIKA MALEZI YA MWANANGU KWA HALI NA MALI.
3.KUHUSU BINTI WA KINYATURU NIMEAMUA NITAMFUATILIA KIUNDANI NA ENDAPO ATAKIDHI VIGEZO VYA KUWA NAE BASI NITAMUOA.
AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI.
Kweli dada alikosa mume kwa kweli....
PoleWakuu awali ya yote NIWASHUKURU kwa mawazo yenu yenye tija na nguvu katika hatma ya maisha ya ndoa yangu, nimeamua haya mambo nitakayo yafanya baada ya kupata ushauri wenu.