NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Asantee... Hongera saana! Haupati pressure... Raha sanaMkuu pamoja na dunia ya leo kuvua chupi ila bado wanawake wa namna hiyo wapo!
Hata shem wako hapa yuko hivo hivo [emoji4]
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Oyaa, unajua unazingua wewe! Hahahahaaaah.. Fisi Utamjua tu [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ila umenikazia Mkuu... kwani tukiyajenga ndani ya familia yao mimi kwa mdogo wake wewe kwake kuna MBURI yoyote.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi inaonekana unamjali na kumkaza vizuri sana ndo maana amedata, ama la ni ushamba wake tu!!! maana mwanamke mzuri anapokosa akili, uchi wake ndo huteseka.Anajua kila kitu, yeye mwenyewe kaamua kupumzika tu,.. Akishapata mtu ataondoka, ila kinachomuweka hapa anakijua mwenyewe, kwani wasio na mke anawaona.....
Mpate anaechuna malalamiko elfu kidogo, mpate asiyechuna hofu kibao!
Dear Men let's be thankful sometimes.
Haina shida...nami nkimpata wa design hiyo ntakuringishia tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...yaani shemeji kila siku kwako yupo " Full of supprise"Oyaa, unajua unazingua wewe! Hahahahaaaah.. Fisi Utamjua tu [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hahahaaah... Mbona wapo mkuu, subir kidogo... Mwenyewe nimepata kama ndoto tu....[emoji16] [emoji51]Haina shida...nami nkimpata wa design hiyo ntakuringishia tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...yaani shemeji kila siku kwako yupo " Full of supprise"
Haujanielewa, huyu mtu alishasema ana mke na huu ni mchepuko tu.Hahaha kwaio two people wanaoanza relationship ambao they havent married yet ni michepuko? Sidhani kama hio terminlogy ni sawa...sio.huruma bali ni huyo anaweza akawa ni mwanamke anaejitambua, na kizuri huwezi ku fake uhalisia wako ...fake things hazidumu,
ndo mana hadi kufikia ndoa kunakuaga na stages za kupita na kizuri zaidi when you trust in God, hua anakuonyesha mapema kabisa na unajikuta u fake wako Mungu anauumbua, lakin kama ni original basi unaonekana na Mungu obvious anakuonyesha tu.
What goes around always comes around