Mrejesho: Nimeamini huyu sio wa mizinga 100%

Watu wanakushauri umwoe kumbe umeshaoa na una watoto ebu mwache binti wa watu atafute wa kumuoa aaaggggrrr[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ye mwenyewe hajawaona? Nishamwambia na anajua kila kitu,.... Na yeye hao ambao hawajaoa anawaona, wala sijamfungia Kamba, kinachomfurahisha anakijua mwenyewe.... Mi nifanyeje sasa!
 
Mtoa mada ana mke na watoto ....we omba namba kama hujaoa kamuoe ww uyo binti hili jinga linaharibu maisha ya mwenzie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] watu na roho mbaya zao.. Hata iwe, mwenyewe ndo anaamua, hao masharobaro anawaona, hajawapenda...
 
Unaoa mke wa pili? Mkeo anazo taarifa au utafanya siri?
Wala mwenyewe hajakerwa mimi kuwa na mke.. Kinachompa raha mie sijui... Ngoja nikupe namba yake umuulize..... Muosha rungu kakupa break.!
 
Basi sawa inawezekana anataka umuoe mapema kama sivyo kuna kitu nyuma ya pazia
Unampa hela then badala ajinunulie vitu vyake anakununulia tena wewe zawadi kupitia ile pesa uliyompa!!

Inaweza ikawa bahati kweli au majanga mbele ya safari
Bahati tu...
 
Wala mwenyewe hajakerwa mimi kuwa na mke.. Kinachompa raha mie sijui... Ngoja nikupe namba yake umuulize..... Muosha rungu kakupa break.!
Haya nipe namba. Muosha rungu anipe break ya nini? Watu kwa kukuza mambo mpo vizuri
 
Sasa wewe endelea kumtega na mizinga utashangaa wenzio washaweka ndani
Sijamzuia kuolewa kwani mimi nina mke tayari... Wala haijalishi,... Hata wewe Ukitaka kuoa ntakutumia namba yake
 
Hahahahaha wanaume huwa hatukimbii matatizo
Sasa unafikiri hayo majukumu ulonitajia wewe, unafikiri yataniacha salama! Thubutuuuu.. Nasepa tu!
 
Wapo, watu hawaamini tu
 
Mh!
 
Wewe chukua mtoto huyo acha ujinga, mi nakwambia adimu sana hao, huyo umepewa na Mungu...
 
Hahahaaah.. Nimecheka mwenyewe mpaka nalia, teeteeeh... Daah! Umenivunja mbavu mkuu.. Jf kuna vituko sana
 
Wengine hawana subira. Wanaanza kung'ata from the word go.
Lazima mtu apate nafasi. Just imagine message ya kwanza tu kodi ya nyumba!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kweli mazee
 
Wewe unachanganyikiwa na maneno yetu humu? Wengine ni wivu tu na ku pass time endelea mkuu. Halafu uache ushamba wa mapenzi kila kitu Kuripoti humu kama una kifungo cha nje aisee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…