Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
Hello wanandugu ,Kwanza kabisa nashukuru Kwa wale wote walionipa mwanga kuhusu kuagiza Gari from Singapore ,Gari ilishafika na nililipa TSHS 350000 Kwa ajili ya inspection fee tu na wala sio asilimia 30 ya CIF ,Ajent wangu alilipia TBS baada ya kujaza form maalum baada ya hapo Kuna kitu kinaitwa NIT alipeleka hapo likafanyiwa ukaguzi halikupita maana Kuna vitu vilitakiwa virekebishwe ilikuwa Ni taa ya kurudi nyuma ,parking light, na walisema engine ina mwaga oil.
Oil seal ilikuwa imekufa ,ilikuwa Ni jumamosi ,ikabidi arudishe Gari home kwake ,Leo Alhamis limepita mtihani ,Ndio dereva wake anailete hapa maeneo ya Kia moshi ,ilikuwa Ni suzuki escudo 2007 ,naisubiria sijui nikaipokee pale njia panda Himo ,Kwa kweli bei yake ilikuwa rahisi sana mpaka ifike Ni $4400 ,hii Ni CIF,
HUYO AJENT NI MZURI SANA SANA HANA TAMAA WANANDUGU ZANGU ,KAMA KUNA MWANANDUGU ANATAKA KUIONA NAWEZA KUMTUMIA PICHA YA GARI KWA EMAIL ADDRESS OR WHATSAPP, ASANTENI KWA KWA USHIRIKIANO WENU NA MAWAZO MLIONICHANGIA ,I CAN'T WAIT TO GET MY NEW RIG ,MWISHO WA MWAKA LAZIMA IENDE MARANGU MAMBA IKAUPOKEE MWAKA MPYA KAMA HUYU YESU KRISTO ATAWEKA HAPO MKONO WAKE .