Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Hata Mimi nimeshangaa sana aisee.
Yaani ofisi ya wilaya ikose akiba hata ya 1.2m kusaidia watu wenye matatizo Kama haya.
Kiukweli viongozi wengi hawajui wanachokifanya kwenye ofisi zao yaani wapo wapo tu ili mradi wanaenda kazini na kurudi.
Ndugu, usiseme hivyo. Ofisi ya mkuu wa wilaya inapokea watu wa aina hiyo wengi sana kwa siku. Unadhani wataweza ikiwa hata hela ya wino wa printer tu ni shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jaribu kwenda kanisani au msikitinj au nenda ustawi ukaandikiwe barua ya kusamehewa ada ...humu unapoteza muda tu

sent from toyota Allex
 
Dah😨
 
Mkuu jaribu kwenda kanisani au msikitinj au nenda ustawi ukaandikiwe barua ya kusamehewa ada ...humu unapoteza muda tu

sent from toyota Allex
He already committed succeed,there is lesson here .
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Don't preach negativity life is too short we have to love each other.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…