Mrejesho muhimu: Madhara ya dawa za kupunguza uzito

aisee...kwa hiyo mambo flan ndo basi tena kwa muda wooooote huo? uwe makini hizo dawa hazina vipimo si nzuri mnaweza jikuta mnakunywa mnaharisha hadi maini na figo vinatoka. au unatapika hadi moyo kama jamaa yangu mmoja alikunywa hayo mavitu akatapika moyo bahati waliwah kumpeleka hosp na kuurudisha.
nilikuwa najaribu tu kwa vile ni vitu asili ila nimekoma sio kwa kubdeed huko chaaaa!!
 
Pole sana ndugu daaa.... wataalamu waje jaman hali si shwari...
 
acha fix moyo?
 
kupunguza uzito na unene si kazi ndogo inabidi ujitoe kweli....achana na madawa..fanya zoezi...nilikuwa na kilo 90...mwili nyumba....ukiniona sasa unaweza kukataa


Mkuu, tupe mrejesho ulifanyajefanyaje name Sisi tupungue, kilo zangu zip humo ulipokuwa were,naamini utakuwa Msaad mkubwa Sana kwangu Kama hutojali mkuu
 
Mimi kila siku nina lila hilo jani la Gilgilani na halinidhuru wewe ulitaka upunguwe uzito kwa haraka ndio maana likakudhuru. Unataka kujimaliza wewe mwenyewe kwa kupewa ushauri na mtu asiye na elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…