Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
Kama anaweza kutumia glass mbili asubuhi ingekuwa poa zaidi maana anakuwa hajala chochote, inasaidia kuyeyusha mafuta kwa urahisi zaidiJaribu kuwa na nidhamu ya ulaji wa chakula,pia epuka vitu vya baridi sana.Zingatia mazoezi na maji moto glasi moja asubuhi yenye ndimu nzima na jioni glass moja
mkuu sili sana ni asili tuJaribu kuwa na nidhamu ya ulaji wa chakula,pia epuka vitu vya baridi sana.Zingatia mazoezi na maji moto glasi moja asubuhi yenye ndimu nzima na jioni glass moja
Asante mkuu kwa kuongezea zaidi.Aachane na hayo madawa sio mazuriKama anaweza kutumia glass mbili asubuhi ingekuwa poa zaidi maana anakuwa hajala chochote, inasaidia kuyeyusha mafuta kwa urahisi zaidi
Kwanza napenda sana kuwashukuru wote ambao huwa mnanitia moyo katika safari yangu ya kupunguza uzito. Katika shauri nilizopata kuna mdau alikuja PM akaniambia nichemshe giligilani ninywe kila asubuhi na wakati wa kulala ndani ya siku moja nitapungua kilo tano.
Kweli nilifanya hivyo siku ya kwanza kweli nilipungua kilo moja siku ya pili kilo moja. Usiku wake sasa nikaanza sana kuumwa na tumbo na kichwa .tumbo lenyewe likawa linauma kama la period. Hazikuwa tarehe zangu ilikuwa kama bado week moja hivi kwahiyo nikajua labda ni ovulation
asubuhi nikakuta hali sio hali yaani duka la always limehamia kwenye pochi yangu jamani nitaishiwa damu mimi nifanyeje.
Nawashauri wajawazito wakae mbali na hili jani ndo lililoniletea majanga
View attachment 526945
yaani nimechinja mbuzi wa kutoshaMungu wangu hilo jani ndo lina madhara hayo.Mpaka nimeogopa suku moja kilo.Kwa iyo una over bleed au nini .
sokoni huwa naitumia sana kwa saladi sijawai kuichemsha. ndo mara ya kwanza kuichemsha cha moto nimekionainapatikana wapi hiyo giligilani mkuu,hakuna namna lazima hiki kitambi nikiondoe,kinanikera kweli
unafanyeje mkuubinzari nyembamba(cumin water) ndo zinapunguza uzito
zinauzwa madukani au kwenye masoko
Pole sana bibie
asanteni mkisikia nimekufa msishangaePole
asante sana yaani cha moto nakiona . hadi kichwa kinaumaPole sana mkuu
Kama unata kupunguza uzito kwanza kuwa mtu wa mazoezi hata ukiwa home kwako ruka walau kamba....
Asubuhi Jitahidi upate maji glass mbili ya uvuguvugu yenye limao au ndimu..
Mchana Jitahidi kula chakula cha wastani na mboga mboga nyiiiiingi..
Jioni waweza pata mchanganyiko wa matunda hasa tikiti, tango na papai...
Kama wala yai hakikisha liko na pilipili hoho husaidia saana kupunguza uzito...
Pole mwaya!!!!
unazichemsha alafu unakunywa hayo maji yake yawe warm kidogounafanyeje mkuu
sokoni huwa naitumia sana kwa saladi sijawai kuichemsha. ndo mara ya kwanza kuichemsha cha moto nimekiona
asante ngoja nipone kwanzaunazichemsha alafu unakunywa hayo maji yake yawe warm kidogo