estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Ubarikiwe ktk maisha....Hatimaye nshaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo.... ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda..... na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea
AmenUbarikiwe ktk maisha....
Hatimaye nshaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo.... ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda..... na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm
yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.
una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
Kweli jamaa ana bahati sanaMkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm
yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.
una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
Sawa na kuishi na kipofuMkuu huyo mzuri sana utakuwa unachat mbele yake bila hata kuficha sm
yaani hata ukisahau sm home wewee tulia tu hakuna madhara.
una bahati sana tafadhali usiiiichezee hiyo bahati
Vizuri kumkubari kama alivyo, ila usimfundishe zaidi ya kusoma na kuandika tena kwa kiswahili tu ili kama kuna mikataba ya hela uwe unasaini wewe na popote ataenda na wewe kwa kuwa atakuwa anakuamini sanaSiku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma
Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote, yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika.
Ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo, ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea.
Sio vibaya kama utampeleka shule ya watu wazima mkuu. Mapenzi kusaidianaSiku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma
Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote, yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika.
Ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo, ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea.
ubarikiwe sana kwa maamuz yako la msing anza kumfundsha wewe sasa abcd za kusoma na kuandika.... naamin utafanikiwa kwenye hilo jitahd mapema maana kuna kuweka sign cheti cha ndoa mkuu.
raha sana MkuuSawa na kuishi na kipofu
Mimi naona itakuwa vizuri kama utamuanzishia utaratibu wa kumfundisha au kama huwezi wewe jaribu kumtafutia mwalimu wa kumsaidia,kwa ulimengu huu wa leo ni vizuri zaidi akajua kusoma na kuandika na nina uhakika ukimsaidia kwa hilo atazidi kukupenda maana ataona unamjali pamoja na mapungufu yake.Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma