Mrejesho: Mpenzi wa zamani na mdogo wake

Ujinga wako mkubwa ni kumla mdogo wake,kwa kulipiza kisasi na nikwambie kuwa visasi havina mwisho kuna mtu nae atakulipizia kisasi na itaendelea hivyo hadi utakapoamua kuomba radhi ili ili mkosi wa visasi uishe
Wacha tu,,, mshenzi yule alinidhalilisha sana
 
Juzi Kati hapa takribani wiki moja iliyopita nilikuja na mada hapa kuhusu mpenzi wa zamani alivyoniacha kwa nyodo enzi hizo, nikarudi kijijini nikamkuta Ni single mother na maisha yamemchapa , akawa anaomba child support nikampotezea

Pia niliwaelezea kwa kwa jinsi alivyoniacha kwa machungu na dharau kibao, nikaona dawa ya kumkomesha pengine nae aumie Ni kutembea na mdogo wake

Twende kazi,,, mdogo mtu alikuja kwangu(nilimtumia nauli) alhamisi wiki iliyoishia Jana. Dah! Mimi sio mwandishi/msimuliaji mzuri lakini niseme tu nilienjoy nae Sana Sana

Mtoto rangi ya chocolate, mwembamba kiasi kabinuka kunako, kifuani kunasoma saa sita kamili, ana jicho Kali , Kama anataka kulia lakini halii

Tulispend Sana weekend yote, kaondoka Leo, japo hakuweza kukaa wiki Kama tulivyopanga, hii Ni kutokana na masomo (Ni mwanachuo) ! Na tumeahidiana atakuja tena wakati mwingine

Mambo machache ambayo nimeyang'amua:
1. Hana matumizi makubwa ya pesa! Ni mtu wa budget, kuna mahala nilimpeleka walau shopping lakini muitikio haukuwa chanya Sana, hakuchagua vitu vingi na vya gharama, pia ikumbukwe sio Mara zote tulikuwa tunakula hotelini na hata hotelini anaagiza vitu vya kawaida visivyo na gharama , muda mwingine Alikuwa anapika

2. Yupo free Sana Yani, simu Yake naitumia nitakavyo, muda wowote

3. Hana tamaa, Leo alivyoondoka nimempa balance ya kutumia lakini amekataa kabisa , nikafanya kuforce kumtumia kwenye simu ! Anasema eti akiwa na shida ataniomba, lakini sio aje kwangu nilale nae aondoke nimpe hela , ina maana ameniuzia ??

4. Anapenda maendeleo, Kuna mahali Kuna kamradi kangu kanakoniingizia kipato nje ya kazi yangu,nilimpeleka pale, alipapenda Sana pia Kuna baadhi ya vitu alinishauri niweke, bidhaa ninazouza huwa naagiza mkoan kwenye haya magari ya cargo, Sasa Kuna ndugu yake anamjua anafanya hiyo biashara ananiunganisha nae niipate hii bidhaa kwa Bei nafuu zaidi!

Naendelea kumsoma!

Dada Yake Hana sifa hata moja hapo. Enzi zake Ni mtu wa Bata tu, Mara location, Mara upuuzi gani sijui mitandao na makampani yasio faa

Maendeleo hayana chama
Mapenzi mabichi ndivyo yalivyo huyo kenge mdogo amesoma weakness za dada yake na anajitahidi kukuonesha kuwa hafanani na dada yake.
 
Hapa humkomeshi huyo aliyekuwa mwanamke wako bali utamkomoa huyo KISU kwa kumfanya single MAZA na mtoto utakayemsusa kwa kuwa nia yako ni KUKOMOA na si KUJENGA.

Ingawa usiniige, ila nilipata kumfumania mpenzi wangu, baadala ya kuniomba msamaha akadinda; nikamweleza kuwa nitamkomesha kwa kuzaa na mdogo wake alpha maana ndiye alikuwa kisu. Kijana yupo sekondari sasa
 
Kuwa makini mjombaa na mademu wa chuo.....Tena ongeza umakini sanaa,usimpe nafasi kubwa ya kukujua mapema kwani ataitumia hyo kujivisha ngozi ya kondoo na kupretend kwako.

Jipe muda na utumie Sana akili kumchunguza huenda akawa mbovu zaidi ya dada yake....
Huyu analiwa timing tuu.atakuja kujaa mbona atacheka mwenyewe 😂
 
Huyo manzi wa chuo ambae hana njaa na anakataa hela mhhh!!ahahahahah..

NB
simaanishi kuwa hawapo.
 
Soon or later,,, ! Natania, haiwezekan maana nitamuua dada mtu kwa presha
Aliekuambia ana presha na ww nani?
Kukuomba child support haimaanishi anakupenda bado.anachopambania hapo ni mtoto wake na ukimuoa dogo tu basi ujue child support utatoa tu whether direcly or the other way maana officialy atakua shemeji yako halaf atakuja akutege umgonge akuvunjie ndoa.
Trend ya visas na kukomoana ndio iko hivyo yan
 
Juzi Kati hapa takribani wiki moja iliyopita nilikuja na mada hapa kuhusu mpenzi wa zamani alivyoniacha kwa nyodo enzi hizo, nikarudi kijijini nikamkuta Ni single mother na maisha yamemchapa , akawa anaomba child support nikampotezea

Pia niliwaelezea kwa kwa jinsi alivyoniacha kwa machungu na dharau kibao, nikaona dawa ya kumkomesha pengine nae aumie Ni kutembea na mdogo wake

Twende kazi,,, mdogo mtu alikuja kwangu(nilimtumia nauli) alhamisi wiki iliyoishia Jana. Dah! Mimi sio mwandishi/msimuliaji mzuri lakini niseme tu nilienjoy nae Sana Sana

Mtoto rangi ya chocolate, mwembamba kiasi kabinuka kunako, kifuani kunasoma saa sita kamili, ana jicho Kali , Kama anataka kulia lakini halii

Tulispend Sana weekend yote, kaondoka Leo, japo hakuweza kukaa wiki Kama tulivyopanga, hii Ni kutokana na masomo (Ni mwanachuo) ! Na tumeahidiana atakuja tena wakati mwingine

Mambo machache ambayo nimeyang'amua:
1. Hana matumizi makubwa ya pesa! Ni mtu wa budget, kuna mahala nilimpeleka walau shopping lakini muitikio haukuwa chanya Sana, hakuchagua vitu vingi na vya gharama, pia ikumbukwe sio Mara zote tulikuwa tunakula hotelini na hata hotelini anaagiza vitu vya kawaida visivyo na gharama , muda mwingine Alikuwa anapika

2. Yupo free Sana Yani, simu Yake naitumia nitakavyo, muda wowote

3. Hana tamaa, Leo alivyoondoka nimempa balance ya kutumia lakini amekataa kabisa , nikafanya kuforce kumtumia kwenye simu ! Anasema eti akiwa na shida ataniomba, lakini sio aje kwangu nilale nae aondoke nimpe hela , ina maana ameniuzia ??

4. Anapenda maendeleo, Kuna mahali Kuna kamradi kangu kanakoniingizia kipato nje ya kazi yangu,nilimpeleka pale, alipapenda Sana pia Kuna baadhi ya vitu alinishauri niweke, bidhaa ninazouza huwa naagiza mkoan kwenye haya magari ya cargo, Sasa Kuna ndugu yake anamjua anafanya hiyo biashara ananiunganisha nae niipate hii bidhaa kwa Bei nafuu zaidi!

Naendelea kumsoma!

Dada Yake Hana sifa hata moja hapo. Enzi zake Ni mtu wa Bata tu, Mara location, Mara upuuzi gani sijui mitandao na makampani yasio faa

Maendeleo hayana chama
Mkuu huna tofauti na mimi hapa namlia timing mdogo mtu akiingia kingi namjaza chap sichelewi. Na ananielewa sana huyu hachomoki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shikilia hapo hapo sasa ila chunga ucjevunja undugu wao endapo dadake akijua
 
Leo ndo Leo, kura zote kwa ccm
 
Nasema mtoto niliyezaa na mdogo mtu yupo sekondari form one
ulikuwa na NIA ovum kwani hujasema huyo mdogo wake mchumba uliyemfumania ULIMUOA au umelipiza kisasi kwa kumtumula mimba ukamuachia kijana yupo form 1 wewe uaenda oa kwingine
 
Ujinga wako mkubwa ni kumla mdogo wake,kwa kulipiza kisasi na nikwambie kuwa visasi havina mwisho kuna mtu nae atakulipizia kisasi na itaendelea hivyo hadi utakapoamua kuomba radhi ili ili mkosi wa visasi uishe
Mkuu kumbe nawe kwa ushauri haujambo
kweli Jukwaa letu wameliminya na Internet au Husda
sasa tunawayawaya majukwaa hata hayatuhusu, waombe waturudishie tutawalipa hizo bundle
 
Aliekuambia ana presha na ww nani?
Kukuomba child support haimaanishi anakupenda bado.anachopambania hapo ni mtoto wake na ukimuoa dogo tu basi ujue child support utatoa tu whether direcly or the other way maana officialy atakua shemeji yako halaf atakuja akutege umgonge akuvunjie ndoa.
Trend ya visas na kukomoana ndio iko hivyo yan

Umenigusa nilikiwa na mzazi mwenzangu kwao ni wa kwanza lakini mateso mwanzo mwisho akili za kijinga ubongo unapeperuka na upepo Kila mbachao upitao....

Nilijitahidi Sana kumuwezesha kipesa na nguvu zangu awe mfanyabiashara nzuri but nilizungukwa na nuksi Kila upande kisa yeye Kila kukicha kunisimanga Kama vile sijafanya kitu...sijawaho kuona riziki na ikipatikana yeye huificha..

Ila wadogo zake ni visuwaliowaowa wamefurahia na Wana mafanikio...wakigusa kitu ni haraka...

Had nkajiuliza mbegu mwitu hii ilitokea wapi?

Kwa Sasa nimekaa kushoto nimemuomba Kila mtu afanye yake. Nione mwisho ukoje.

Kulea mtoto ni wajibu. mama yake ajihudumie. Kuwa mwangalifu tu asikutege kwa mdogo wake.
 
Ingawa usiniige, ila nilipata kumfumania mpenzi wangu, baadala ya kuniomba msamaha akadinda; nikamweleza kuwa nitamkomesha kwa kuzaa na mdogo wake alpha maana ndiye alikuwa kisu. Kijana yupo sekondari sasa
Ulioa mdogo mtu au umewakomesha wote?
 
Juzi Kati hapa takribani wiki moja iliyopita nilikuja na mada hapa kuhusu mpenzi wa zamani alivyoniacha kwa nyodo enzi hizo, nikarudi kijijini nikamkuta Ni single mother na maisha yamemchapa , akawa anaomba child support nikampotezea

Pia niliwaelezea kwa kwa jinsi alivyoniacha kwa machungu na dharau kibao, nikaona dawa ya kumkomesha pengine nae aumie Ni kutembea na mdogo wake

Twende kazi,,, mdogo mtu alikuja kwangu(nilimtumia nauli) alhamisi wiki iliyoishia Jana. Dah! Mimi sio mwandishi/msimuliaji mzuri lakini niseme tu nilienjoy nae Sana Sana

Mtoto rangi ya chocolate, mwembamba kiasi kabinuka kunako, kifuani kunasoma saa sita kamili, ana jicho Kali , Kama anataka kulia lakini halii

Tulispend Sana weekend yote, kaondoka Leo, japo hakuweza kukaa wiki Kama tulivyopanga, hii Ni kutokana na masomo (Ni mwanachuo) ! Na tumeahidiana atakuja tena wakati mwingine

Mambo machache ambayo nimeyang'amua:
1. Hana matumizi makubwa ya pesa! Ni mtu wa budget, kuna mahala nilimpeleka walau shopping lakini muitikio haukuwa chanya Sana, hakuchagua vitu vingi na vya gharama, pia ikumbukwe sio Mara zote tulikuwa tunakula hotelini na hata hotelini anaagiza vitu vya kawaida visivyo na gharama , muda mwingine Alikuwa anapika

2. Yupo free Sana Yani, simu Yake naitumia nitakavyo, muda wowote

3. Hana tamaa, Leo alivyoondoka nimempa balance ya kutumia lakini amekataa kabisa , nikafanya kuforce kumtumia kwenye simu ! Anasema eti akiwa na shida ataniomba, lakini sio aje kwangu nilale nae aondoke nimpe hela , ina maana ameniuzia ??

4. Anapenda maendeleo, Kuna mahali Kuna kamradi kangu kanakoniingizia kipato nje ya kazi yangu,nilimpeleka pale, alipapenda Sana pia Kuna baadhi ya vitu alinishauri niweke, bidhaa ninazouza huwa naagiza mkoan kwenye haya magari ya cargo, Sasa Kuna ndugu yake anamjua anafanya hiyo biashara ananiunganisha nae niipate hii bidhaa kwa Bei nafuu zaidi!

Naendelea kumsoma!

Dada Yake Hana sifa hata moja hapo. Enzi zake Ni mtu wa Bata tu, Mara location, Mara upuuzi gani sijui mitandao na makampani yasio faa

Maendeleo hayana chama
Ni hatari kubwa hii.
 
Back
Top Bottom