Mrejesho: Mke wangu Kaomba Msamaha Yaishe

Mrejesho: Mke wangu Kaomba Msamaha Yaishe

We bado dhaifu mapenzini.

Na kuna dalili mapenzi yatakuja kukusumbua.

Mwanaumae Imara unatakiwa ukaze kweli kweli.

Na wanawake wote wana tabia ya kutest mambo.

Heshima yako haiwezi kuja ukiwa nyoro nyoro dakika 15 tu ushabadili mawazo, au eti kaka mtu anakubadilisha mawazo.
Tuendelee kushauliana nichukue hatua gani ikiwa tumeshasameheana mkuu
 
Kwa vyovyote vile, mimi kama Mwenyekiti wa Umoja wa Wanaume Duniani, nakutaka uandike barua ya kujieleza kwani kuna baadhi ya mambo hayako sawa.
Endeleeni kuniombea na ushauri pia
 
Mwanamke hata awe mkorofi vipi akisikia unataka kuoa mwingine akili lazima zimruke.
Wengi huwa wanaelewa umuhimu wa ndoa baada ya kuachwa. KISHA ujiunga kwenye kundi la ufeminist faraja ya tukose wote.
We kama ulichezea ndoa yako KWA upumbavu wako usiwapotoshe wengine.

Inabidi wakanywe kwa uzi mkubwa hawa wanawake wa hivi
 
Huyo mke wako sio wa kumuamini tena kuwa makini atakumaliza hyo ni wa kumuacha kuna siku utakuja hapa kuleta uzi mwingine maana mwanamke hujui kapanga nini.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hii miaka ya karibuni nchi yetu imekua na vijana wa hovyo kabisa...😠
 
Mwanamke akishakutishia kuvunja ndoa,lazima arudi kuomba msamaha baada ya kikao cha wazazi wake...dk 15 sasa amejifunza nini hadi umsamehe,angetakiwa arudi kwao walau miezi 2 akafundwe upya
 
Baada ya kumsamehe ulimpiga Pumbu lkn? Ulitakiwa umpige mkao was popo kanyea mbingu
 
Back
Top Bottom