Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

Mkuu, pole. Hope mtapata ufumbuzi mujarabu wa hiyo kadhia.
Mimi baada ya kuona jinsi wife anavyowapenda wanae (tuna watoto 2, mmoja miaka 5 mwingine miaka 2), nikaona sio kesi akiandika jina lake kwenye umiliki wa kiwanja. Mungu jaalia, tunaweza anza ujenzi mwakani, lakini hata nyumba nataka iwe Kwa majina yake. Sababu ni zipi?
1. Najua hawezi watelekeza watoto (labda apigwe ndumba), so pale patakuwa pa watoto. Hata likitokea la kutokea, siombei, watoto watakuwa na kwao.
2. Nimeshuhudia issues za mirathi, ndugu wamechukua mirathi ya watoto,(ilikuwa 19M). Yaani baba na mama wamekufa, mjomba akapewa zoezi la kusimamia mirathi ya marehemu dada yake, ndo mirathi ya wadogo wawili waliokuwa chini ya 18 ikapigwa. Nilijifunza kuwa mzazi, baba au mama atakuwa na uchungu zaidi na mali za watoto kuliko mtu wa nje.
Labda nakosea, labda sijui, kikubwa fuata moyo wako
Utakuwa umerogwa si bure, toka lini mume akamwandika mke wake kwenye umiliki wa Ardhi na hati ya nyumba, we kama umeamua kumpa nyumba mkeo ni sawa mpe ili ata alitaka kuuza au kukopea Benki iwe juu yake, Mimi nancho fahamu kwenye wosia ndiyo inabidi uwaandike mke na watoto na wazazi.
 
Ki haki hiyo nyumba inatakiwa umiliki usomeke we Na mkeo. Haitakuwa sawa lisomeke.Jina lako tu wakati kiwanja aliahangaika kukinunua pekee yake. Ni kweli mwanaume ni Kichwa cha familia lakini si kwa mtindo huo. Nunua kiwanja kipya ujenge ndiyo uandike Jina la peke yako.
 
MBUZI MWENYE BUSARA mkuu naona hapa baadhi ya watu wanazidi kukushambulia ni wapumbavu hao na wataka sifa na kujifanya wao ni hawana tatizo lolote kwenye familia zao

Hiki unachokipigania wewe hata kwangu ni vilevile ila nimekaa nimetafakari mkuu MBUZI ebu achana na hicho kitu jitahidi kajenge kwenye uwanja ulionunua wewe kaweka husia kwamba hiki kiwanja na nyumba hii nikifa ni mali ya watoto wangu hakikisha mtoto mmoja anakuwepo mbele ya wakili na shahidi atakaesahini huo wosia then endelea na ujenzi kwenye kiwanja chako usiumie kwenye kiwanja cha huyo mwanamke na acha acha kabisa kufanya maendeleo yoyote fanya kama umetoa sadaka kwa hivyo vitofali vya chumba mbili sijui na sebule, mkeo mbinafsi mpotezee anza upya kwenye kiwanja chako.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu anatakiwa afanye mambo mengine aache mambo ya kuendeleza ujenzi wowote ule kwenye kiwanja ila kwasasa afanye mambo yake yako uchumi, kwanza kafanya makosa kuweka kikao na huyo mke wake, yeye alivyo mjua mwanamke ana jitenga na yeye angeanza kumtenga mke wake kwa kufanya maendeleo sehemu nyingine.
 
Mkuu, pole. Hope mtapata ufumbuzi mujarabu wa hiyo kadhia.
Mimi baada ya kuona jinsi wife anavyowapenda wanae (tuna watoto 2, mmoja miaka 5 mwingine miaka 2), nikaona sio kesi akiandika jina lake kwenye umiliki wa kiwanja. Mungu jaalia, tunaweza anza ujenzi mwakani, lakini hata nyumba nataka iwe Kwa majina yake. Sababu ni zipi?
1. Najua hawezi watelekeza watoto (labda apigwe ndumba), so pale patakuwa pa watoto. Hata likitokea la kutokea, siombei, watoto watakuwa na kwao.
2. Nimeshuhudia issues za mirathi, ndugu wamechukua mirathi ya watoto,(ilikuwa 19M). Yaani baba na mama wamekufa, mjomba akapewa zoezi la kusimamia mirathi ya marehemu dada yake, ndo mirathi ya wadogo wawili waliokuwa chini ya 18 ikapigwa. Nilijifunza kuwa mzazi, baba au mama atakuwa na uchungu zaidi na mali za watoto kuliko mtu wa nje.
Labda nakosea, labda sijui, kikubwa fuata moyo wako
Akitangulia mke wako kufa ndugu zake wanakuja kuchukua mali za ndugu yao wanakuacha kweupe
 
Kama ni isssue ya hati ya kiwanja mnaweza kuandika majina yenu wote wawili (joint co-occupiers) maana kiwanja ni cha mwanamke na nyumba ni ya mwanaume na kwa mbali inaonekana hamuaminiani 100% kwamba kuna mmoja anaweza kumdhulumu mwenzie haki yake
 
🤣🤣🤣🤣
Bado, Kwa asilimia 95 nadhani namfahamu mama watoto vyema kukuzidi. She isn't perfect ila la upendo kwa wanae silitilii shaka. Na mimi nafanya for the kids. Nitakuja na amani sana kokote nitakakokuwa nikijua my kids are in safe hands
Kazi ipo, tuache mda ufanye kazi yake, nachojua mwanamke kadri anavokua ndo ujinga unamjaa kichwani

Ndoa nyingi zimekua matatani baada ya wanandoa kua matured

Kwann ndoa hazivunjiki zikiwa changa? Majibu yake ndo yatatoa direction ya maamuzi yenu
 
Nilivyosoma stori aisee,nimependa namna unavyoweka waz majibu ya mke...umepata mke mwenye hekima sana...ana majibu yenye busara na upole....nikirudi kwako....embu rahisisha tu mambo... Mwache aandike kwa jina lake maana hata kiwanja ni chake....yaan ukiona MTU anakwambia ngoja nikajifikirie ujue bado hajaafiki....watoto analea mama pale ,wewe unakuja Mara mojamoja,kwann usimwamini mkeo...mbona kama umekaa attention sana...hata mkiachana kwa ajili ya watoto bado itakubidi uwaachie Nyumba(kwa mwanaume Mwenye akili hawez taka watoto wataabike pa kuishi)....ulisema una kiwanja...kama ulivyosema wewe ni mwanaume ,kichwa cha familia...em pambana tena jenga kwenye kiwanja chako then waandike wanao...Usitumie ubabe,tafadhali...mwachie tu kama zawadi hiyo Nyumba.... Ni mkeo huyo analea na kuishi hapo na watoto wako.(usipojiangalia,ndoa yako ndo inaenda kufall apart Mkuu)
Hivi wanandoa kuendelea kutumia lugha ya kiwanja chake / chako ni sawa kweli?

Mimi nijuavyo ni kwamba mkishakuwa mke na mume mali zote zinakuwa za familia hakuna tena mambo ya changu /chako.

Andikisheni nyumba katika umiliki wa pamoja Mke na mume. Hata viwanja vyote viwili kwa misingi ya ndoa ni lazima hati iwekewe maelezo yanayoelekeza kwamba sasa hii ni mali ya Mr. & Mrs. fulani

Vinginevyo ubinafsi unaenda kuangamiza ndoa soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wanandoa kuendelea kutumia lugha ya kiwanja chake / chako ni sawa kweli?
Sasa kwann wagombane,kama hawana huko kubaguana,kama MTU mnapendana na kuelewana hata angeandika jina mwanamke au mwanaume kusingekuwa na hizo purukushani... Ndoa imekwisha hiyo
 
Hivi wanandoa kuendelea kutumia lugha ya kiwanja chake / chako ni sawa kweli?

Mimi nijuavyo ni kwamba mkishakuwa mke na mume mali zote zinakuwa za familia hakuna tena mambo ya changu /chako.

Andikisheni nyumba katika umiliki wa pamoja Mke na mume. Hata viwanja vyote viwili kwa misingi ya ndoa ni lazima hati iwekewe maelezo yanayoelekeza kwamba sasa hii ni mali ya Mr. & Mrs. fulani

Vinginevyo ubinafsi unaenda kuangamiza ndoa soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo inavyopaswa kuwa.
 
Kama ni isssue ya hati ya kiwanja mnaweza kuandika majina yenu wote wawili (joint co-occupiers) maana kiwanja ni cha mwanamke na nyumba ni ya mwanaume na kwa mbali inaonekana hamuaminiani 100% kwamba kuna mmoja anaweza kumdhulumu mwenzie haki yake
Siku hizi hakuna cha kuaminiana. Watu wapo kwa ajili ya material things. Ili wawe salama waandike majina mawili maana hakuna ajuae kesho.
 
Hivi wanandoa kuendelea kutumia lugha ya kiwanja chake / chako ni sawa kweli?

Mimi nijuavyo ni kwamba mkishakuwa mke na mume mali zote zinakuwa za familia hakuna tena mambo ya changu /chako.

Andikisheni nyumba katika umiliki wa pamoja Mke na mume. Hata viwanja vyote viwili kwa misingi ya ndoa ni lazima hati iwekewe maelezo yanayoelekeza kwamba sasa hii ni mali ya Mr. & Mrs. fulani

Vinginevyo ubinafsi unaenda kuangamiza ndoa soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa zenyewe za kuviziana hizi shida sana.
 
Watu hawaishi uhalisia. Wana fake life. Baadae ndio wanaonyesha rangi halisi.
Kazi ipo, tuache mda ufanye kazi yake, nachojua mwanamke kadri anavokua ndo ujinga unamjaa kichwani

Ndoa nyingi zimekua matatani baada ya wanandoa kua matured

Kwann ndoa hazivunjiki zikiwa changa? Majibu yake ndo yatatoa direction ya maamuzi yenu
 
Bado, Kwa asilimia 95 nadhani namfahamu mama watoto vyema kukuzidi. She isn't perfect ila la upendo kwa wanae silitilii shaka. Na mimi nafanya for the kids. Nitakuja na amani sana kokote nitakakokuwa nikijua my kids are in safe hands
Kaka mkubwa, naelewa hisia zako na naturally inafaa iwe hivyo, ila amini kitu kimoja siku utakuja gundua kwamba uliishi katika denial ya kumuamini mkeo kwa asilimia zote hizo hiyo disappointment utakayopata kama siyo jasiri unaweza pata msongo wa mawazo au maradhi yasiyoambikiza na pengine kufa kabisa .

Ishi kwa sheria moja kuu itakusadia sana " don't trust no body". Ndoa zina mauzauza pengine ambayo hukuwahi fikiria kama ungekutana nayo. Wanawake nowadays wamekuwa waki embrace sana issue za "freedom", wanahisi wanaweza ishi bila mwanaume, ile traditional life ya mume na mke haipo tena.

Wanaume wengi tunapambana na kuishi kulea familia na maisha ya ndoa, while asilimia kadhaa ya wanawake wanaishi kwenye ndoa wakiwa na mission maalumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom