Mrejesho kwa wateja wa dstv uko wapi?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Mwaka jana serikali iliifungia dstv kuonyesha vipindi vya tv ambavyo ni FTA (FREE TO AIR)). Kwa lugha nyingine local chanels. Ikabakizwa tbc1 pekee. Baadae tukaambiwa tuliokuwa wateja wa dstv tuorodheshe malipo tuliyofanya na dstv wakati tunanunua vifurushi.

Sasa hadi leo sijasikia mchakato uliendeleaje au ulikwamia wapi. Yani tunahitaji mrejesho. Au wenzangu kuna waliopata mrejesho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII BONGO MZEE IJUMAA PATA NDOVU BARIDI WAHI KWA MAMA YOYOYOOO
 
Bado tunahakiki, kuweni na subira.

Usile Mbegu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…