Mrejesho: Kupona fungus za vidole vya miguuni

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,781
Asante sana wana JF waliochangia hii mada ya Dawa ya fungus ,kweli kama nilivyoomba msaada nilifuata huo ushauri na kwenda kwenye phamacy kununua Dawa ya cream inayoitwa GENTRISONE na nimepaka kwa siku 3 tuu na fungus zimepona kabisa.

Nilinunua pale Monas Pmamacy ,Arusha 4,000.

Asante sana mheshimiwa Chalotte.
 

Attachments

  • 1452614270203.jpg
    1452614270203.jpg
    37.8 KB · Views: 75
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom