Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa

Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya

Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu

I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami

Tunapenda tusiko pendwa
FaizaFoxy changamkia deal
 
Mm toka yanikute hayo nilijiapia sitaamini mwanamke na sitakuwa na kademu kamoja tu....acha uzwazwa mkuu.....mambo ya kulilia chupi achana nayo......wew kula ,sepa achia mwingine ale....
 
Basi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote

Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
Kwani bado wanawake watiifu wapo?? ....kumwamini demu n kupoteza muda wako muhimu.....at least nikimuoa ntamuamini
 
Pole sana...

Huwezi jua/tambua thamani ya kitu mpaka pale utakapokipoteza...

Cc: mahondaw
 
Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa

Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya

Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu

I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami

Tunapenda tusiko pendwa
Mbona unaandika kwa kusikitika sana. Hii style yako inaonekana kama unamtishia nyau ili awe mpole urudishe majeshi! Haya mambo kama unaachana naye kweli ukutakiwa hata kumpa taarifa kama umeachana naye! Unapiga ban ya kimya contacts zake zote. Na akitokea kukutafuta unachomoa betri mazima kama kutojibu sms au kukata simu ukigundua ni yeye katumia line tofauti na uliyoblock.

Then kuanzia hapo wewe unaendelea na maisha yako ili na yeye aendelee na maisha yake ya kutosumbuliwa.

Hii ya kwako sidhani kama ni true breakup!! Inaonekana bado ujafanya maamuzi ya mwisho!!
 
Kwa tuliopitia vyuo vikuu tunajua lifestyle ya chuo. Kua na mpenzi ambae anasoma chuo kikuu alafu mpo mikoa tofauti we andika maumivu tu. Kuna mengi kule. Loneliness is a big factor plus tamaa etc.

Long distance relationship doesn't work.
Si chuo tu hata kwenya maisha ya ndoa,Kama wana ndoa wanaishi mikoa tofauti basi hapo hesabu maumivu Hakuna uaminifu na kama upo basi umelega lega.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom