Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,107
Sasa hapo umekuwa mwanaume. Maana ulikuwa kama furushi tu.
Kwakweli imetoshaAnakupigia simu maana amegundua anapoteza nafasi. Takosa ulivyokuwa unampa.. sasa akili imemruka.
Kazia hapo hapo ii ajue ww si mpumav. Next time ujifunze.. ukionamtu hakujali tena piga chini bila taarifa.
Ni wanawake wachache ambao huwa ukiwapenda wanarufisha upendo kwa upendo. Wengi ukionyesha kuwapeda sana ni wanaanza kujisahau. Hata mawasiliano yanafifi maana wanajua muda wowote unapatikana wakikutaka. Wengi huwa mnajisahau.
Ile effort kabla hamjawa wapenz inakuwa kubwa. Mkifanikiwa kuingia kwenye mapenz. Effort inashuka.that according to my experience. Ukitaka na evidence ninazo.
Na pia kuna research juu walizofanya wana sayansi kuhusu ilo
Kwa tuliopitia vyuo vikuu tunajua lifestyle ya chuo. Kua na mpenzi ambae anasoma chuo kikuu alafu mpo mikoa tofauti we andika maumivu tu. Kuna mengi kule. Loneliness is a big factor plus tamaa etc.
![]()
Mchumba anatafutwa
Kuna mtu anasoma chuo kikuu alipata maambukizi ya virus vya ukimwi angali akimuuguza ndg yake aliekua na maambukizi hayo anatafuta mchumba wa kike wa kuoa Umri:18-21 HIV+ Mkristo ama asie mkristo ambae anaweza kua mkristowww.jamiiforums.com
Sampuli ipi?
Mwanamke asiyekuwa mnyenyekevu piga chini,nakupa ushauri huu niko kwenye ndoa ni mwaka wa 12 sasa.
mkuu.
ivi ule mpango ya kando usha oa.Ila jufunze next time usimpende mwana mke kwa 100%.....utakufa kabla ya mda ako
Hata kama mume anasaliti mke awe mnyenyekevu tu?
Katika mambo ambayo huwa sijipi uhakika ni kama hayo unayoyasema ww kuwa "hatakuja kupata mtu wa kumpenda kama nilivyo mpenda mm".
Achana na hii.maana effect ya hii ni kuwa atakapokua anapeta na penz jipya ww roho itakuuma maana ushajipa hakimiliki kwamba ww ndio unajua kuoenda sana.Wapo watu wanapenda mzee ww unasubir..
Yeye kua na mwingine si tatizo ila uwezo wa huyo mwingine kuishi nae na kumumilua hapo ndo nnakukuzungumzia