Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Mrejesho kuhusu ushauri nilioomba

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,723
Reaction score
2,419
Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa

Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya

Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu

I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami

Tunapenda tusiko pendwa
 
Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ya maisha
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu

I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami

Tunapenda tusiko pendwa
Ila jufunze next time usimpende mwana mke kwa 100%.....utakufa kabla ya mda ako
 
Basi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote

Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
 
Kitu gani kikubwa ambacho alikifanya ukamsaidia??
 
Basi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote

Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
Usizungumzie kwa ujumla kwa sababu hua hatutongozi pamoja na hatuingii kwenye mahusiano kwa ujumla bali kwa mmojammoja

Hivi unaeza oneshwa dharau ya kuambiwa wewe kunipenda kwako kusinifanyie nikabaniwa riziki za wanaume wengine......hebu jiweke uwe ww then niambie
 
Am tired aisee
Huyu hapana
Hua sin Tabia ya kublock but kwa sasa nishablock namba zake saiv nasumbukiwa Facebook na hapo ndo nimegundua ilikua dharau kwa sababu alijua nampenda na siwezi muacha saiv haamini kama nimempotezea anaanza kunitafuta
And am real sure hatajua kupendwa kama nilivyompenda mimi
Una hakika akija akakufunulia sketi utashikilia msimamo wako huo huo hata kama kidudu chako kikiwa kimesimama?
 
Ila jufunze next time usimpende mwana mke kwa 100%.....utakufa kabla ya mda ako
Huwez kujizuia kumpenda mtu kwa 100% lakin unachoweza kuji controll ni kuziacha akil zibak kujitegemea.Usiruhusu joint venture ya moyo akil na nafsi kwenye mapenz utaumia.Acaha kila depattment ijitegemee utaishi kwa raha sanaaa..
 
Am tired aisee
Huyu hapana
Hua sin Tabia ya kublock but kwa sasa nishablock namba zake saiv nasumbukiwa Facebook na hapo ndo nimegundua ilikua dharau kwa sababu alijua nampenda na siwezi muacha saiv haamini kama nimempotezea anaanza kunitafuta
And am real sure hatajua kupendwa kama nilivyompenda mimi
Katika mambo ambayo huwa sijipi uhakika ni kama hayo unayoyasema ww kuwa "hatakuja kupata mtu wa kumpenda kama nilivyo mpenda mm".
Achana na hii.maana effect ya hii ni kuwa atakapokua anapeta na penz jipya ww roho itakuuma maana ushajipa hakimiliki kwamba ww ndio unajua kuoenda sana.Wapo watu wanapenda mzee ww unasubir..
 
Ni hasira tu hizo zikipoa mtayamaliza. Vile vile ni sehemu ya kujifunza na kukomaa, kuwa makini
 
Yeye kua na mwingine si tatizo ila uwezo wa huyo mwingine kuishi nae na kumumilua hapo ndo nnakukuzungumzia
Katika mambo ambayo huwa sijipi uhakika ni kama hayo unayoyasema ww kuwa "hatakuja kupata mtu wa kumpenda kama nilivyo mpenda mm".
Achana na hii.maana effect ya hii ni kuwa atakapokua anapeta na penz jipya ww roho itakuuma maana ushajipa hakimiliki kwamba ww ndio unajua kuoenda sana.Wapo watu wanapenda mzee ww unasubir..
 
safi sana na usijutie huo uamuzi wala kurudi nyuma. umedharaulika sana mzee ni mda wa kutuliza akili na kunenepa sasa.
 
Sure
Ila hilo la unene hapana aisee nachukia unene
safi sana na usijutie huo uamuzi wala kurudi nyuma. umedharaulika sana mzee ni mda wa kutuliza akili na kunenepa sasa.
 
Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa

Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya

Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu

I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami

Tunapenda tusiko pendwa
Anakupigia simu maana amegundua anapoteza nafasi. Takosa ulivyokuwa unampa.. sasa akili imemruka.
Kazia hapo hapo ii ajue ww si mpumav. Next time ujifunze.. ukionamtu hakujali tena piga chini bila taarifa.
 
Ni wanawake wachache ambao huwa ukiwapenda wanarufisha upendo kwa upendo. Wengi ukionyesha kuwapeda sana ni wanaanza kujisahau. Hata mawasiliano yanafifi maana wanajua muda wowote unapatikana wakikutaka. Wengi huwa mnajisahau.
Ile effort kabla hamjawa wapenz inakuwa kubwa. Mkifanikiwa kuingia kwenye mapenz. Effort inashuka.that according to my experience. Ukitaka na evidence ninazo.
Na pia kuna research juu walizofanya wana sayansi kuhusu ilo
Basi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote

Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom