Mara zote mihemko ndo huwa inatupoteza...Mkuu katika harakati za maisha kila MTU anasehem yake yakutobolea, usidhani sehem utakayotobolea wewe ndo nami ntatoboa hapo hapo big NO watu tunashindwa kuelewa hili
Back to topic:wengi wao waliliwa tu na ilikuwa kampeni tu
love without limits
Kweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikitiMara zote mihemko ndo huwa inatupoteza...
Du sitaki kukumbuka hiyo kitu ya kilimo cha Matikiti.unajua zilikuwa ni hesabu zilizopigwa na watu ambao sio "agrobusiness expert".kweli kama kamali vile kuna walio piga fedha na kuna waliofilisika mbaya .kuna watu sasa hivi wanahangaika na marejesho kwenye saccos kwa fedha walizofukia chini.kiliml hakitaki pupaKweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikiti
Nadhani kilichowapata unakijua
Mwisho wasiku wauza mbegu,madawa na mbolea ndo waliofaidika
love without limits
Dah, mkuu niambie nijifunze kitu nami ntakwambia yangu ujifunze kituDu sitaki kukumbuka hiyo kitu ya kilimo cha Matikiti.unajua zilikuwa ni hesabu zilizopigwa na watu ambao sio "agrobusiness expert".kweli kama kamali vile kuna walio piga fedha na kuna waliofilisika mbaya .kuna watu sasa hivi wanahangaika na marejesho kwenye saccos kwa fedha walizofukia chini.kiliml hakitaki pupa
Tikiti ilisemekana inalipa kuliko, yani siku 55 tu umevuna na ikasemekana adimu sana darsikubaliani na mabezo yenu, kaz yoyote ukiifanya bila maarifa sahihi lazima ukwame tu.
Mara zote mihemko ndo huwa inatupoteza...
kilimo cha viazi lishe,mbegu 1inauzwa sh 60.Ukilima vizuri kwa ekari unapata milioni 20,ndo habari ya mjini.Hivyo wanaonufaika ni wafanya kampeni na organization zao.Kweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikiti
Nadhani kilichowapata unakijua
Mwisho wasiku wauza mbegu,madawa na mbolea ndo waliofaidika
love without limits
Green HouseGH ni nini
Agro Business Iringa
Kwenye Foreign currency exchange rates {Forex} watapasuka mapema tuuuuuuuu. Maana kukaa kutegemea pesa idondoke au ikue ni zaidi ya kamali ya KUBETI. Yaani wakuu tuache blaa blaaa tufanye kazi. Hii shoti kati inatuponza na kutupotezea mudaOgopa kufanya kitu kwa mihemko..lazima uambulie za uso..hata huko forex..wengi watapakimbia tu mana naona watu wameenda ki mihemko zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna TATU MZUKAAAA na BIKO jionee nguvu ya bukuKwenye Foreign currency exchange rates {Forex} watapasuka mapema tuuuuuuuu. Maana kukaa kutegemea pesa idondoke au ikue ni zaidi ya kamali ya KUBETI. Yaani wakuu tuache blaa blaaa tufanye kazi. Hii shoti kati inatuponza na kutupotezea muda
Leo Dola imepanda kesho imedondoka
Hiii inakumbusha chuoni, washkaji full kubeti kwa muhindi mpaka Semister 2 zinaisha watu hata nguo za kuvaa zimekwisha na usoni kapauka kwa sababu ya kubeti.
Sema nini, changamoto iliyopo apa mjini uwezi Kufuga wala kulima, kwa watu waliopo apa mijini kwa iyo kipato kinapatikana kwenye ujanja Ujanja wa kucheza kamali na kuwa dalali kwa kifupi ni Utapeli Utapeli tuuu na Kingine ndio biashara za Madawa ya Kulevya
Apa mjini changamoto sana, ni kama kwenye usaili wa TRA watu elfu 30. Yaani changamoto sana
Tumezaliwa ilala nyumba za Kota. Uwezi Kufuga chochote zaidi ya Kufuga njiwa. Mungu tunusuru vijana wa mjini, hali ni ngumu sana