Mrejesho; Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,556
22,105
"15 jan 2017"
Rais ni Taasisi: Rais ni mamlaka, Rais ni amiri jeshi, kauli ya rais ni kauli ya mwisho:

Nimemsikiliza Jana mwanasheria mkuu wa CHADEMA Jana, kasema alivyoweza kusema lakini kuna sehemu kakosea sana tena sana kumwita mteule kuwa "karopoka".

Kwa mujibu wa kamusi, MROPOKAJI ni mtu anayezungumza au kupayuka mambo bila kufikiri.

************************
Mi nadhani wapinzani hata kama kuna nia ya kukosoa naomba tumieni lugha nzuri kukosoa! Kauli zenu zitaliingiza taifa katika machafuko!

Kama Tundu Lisu anasema Rais hana mamlaka ya kufuta magazeti je anasahau kwamba;

1. Ukisoma Katiba ya jamhuri inasema kauli ya rais ikitamkwa haitakiwi kuhojiwa na mtu yeyote?

2. Muswada wowote ili uwe sheria, ni mpaka rais asaini?
3. Kikatiba, ni nani mwenye mamlaka ya kutangaza njaa au hali ya hatari?

Sasa mwenye mamlaka haya na mengine ya kuteuwa waziri wa Habari na vyombo vingine, atashindwaje kufuta magazeti Kwa vigezo Vya kukiuka masharti?

Mtoto asiye na adabu; aweza muita babake mropokaji eti kisa jambo hakubaliani nalo?

Jiandaeni Kumtetea Lissu baada ya mahojiano!
*********************************************************************

1. Kutangaza kuwa rais "karopoka" ni uchochezi kwa kuidhalilisha taasisi na serikali.

2. Nani aliyemruhusu kutangazia umma "BBC" kua Tanzania kuna njaa?

3. Kujipanga kuwatetea watuhumiwa wa uhalifu na wauza madawa ya kulevya.

4. Kuandaa mkakati na kauli za kichochezi.
 
Sawa kaul ya rais haitakiwi kuhojiwa na mt yeyote maana anachokuja kuongea rais tayar kimeshachunywa na kufanyiwa research na ushaur ushatolewa na washaur wa rais na sio anayeitwa rais kuongea mamb ambayo unplanned pia nchi yoyte ambayo imeendelea au inayondelea yenye good governance lazma kuwepo na opposition tena ulioimarika hyo ndio democracy na sio hisia za mt mmoja...
 
Hapa ukweli lazima TUSEME anachokifanya LISSU ni moja ya PLAN B ya CHADEMA kupamabana na MAGUFULI baada ya hizo plan za MWANZO kuwabumia......SASA HII inapelekea LISSU kufanya mambo ambayo anafahamu kabsa yapo kinyume na KATIBA kabsa au kuvunja SHERIA makusudi ili mwisho wa SIKU akamatwe atafute HURUMA ya wanachi na kuitangazia DUNIA ya kuwa UPINZANI unaonewa kila KUKICHA kwa VIONGOZI wake (KWANZA HAPA SI VIONGOZI bali ni mtu mmoja TU ni LISSU maana yeye kila kukicha ni KUROPOKA ili akamatwe aonekane yeye anaonewa).....
Swali la kujiuliza kwanini HAYA MATUSI ANAYOYATOA LEO hakuweza kuyatoa enzi za JK???......
Pia anashindwa nini KUFIKISHA UJUMBE wake bila kutoa maneno ya kashfa kwa RAISI?????
Na,je ni kweli LISSU hatambui uwepo wa UTAWALA WA SHERIA KWENYE NCHI HII????

WATANZANIA tusiwe watu wakusahau sana.....HUYU LISSU HANA UHALALI WA KUWAITA WENZAKE WACHAFU ILI HALI YEYE MWENYEWE NDANI YA CHAMA CHAKE KUNA UMINYWAJI MKUBWA SANA WA DEMOKRASIA.....UFISADI.....PIA NI MUONGO AMBAYE ANASAHAU NA KUSIMAMIA KUHUSU ALICHO KISEMA JANA.......Mfano mdogo tu.....mpaka leo hii kashindwa kabsa kuja kutupa MREJESHO wake juu ya KIJANA wa watu BEN SANAANE na hiki nikithibitisho tosha ya KUWA HUYU LISSU ana tuigizia MOVIE tu hapa anajua kabsa anachokifanya NI upuuzi AJE HAPA ATUAMBIE KWANZA SUALA LA BEN kalifikisha wapi SIO KILA SIKU KUTUKANA.....mimi hii uwa ina niuma sana

ME NINGEMUONA NI SHUJAA ANASIMAMIA KWELI KABSA JUU YA MATAMKO YAKE KAMA ANGEANZA KUPAYUKA JUU YA NYUMBA YAKE......

Kwani MNYIKA,,SUGU, MSIGWA,MDEE hawapo BUNGENI??????mbna wao hawakamatwi na polisi????????

HITIMISHO.....tuna mtaka aitishe PRESS conference atuambie kuhusu KAULI ZAKE JUU YA BEN alipo potea NA ATUPE MREJESHO JUU YA BEN swala lake limefikia wapi mpaka sasa.......
 
"15 jan 2017"
Rais ni Taasisi: Rais ni mamlaka, Rais ni amri jeshi, kauli ya rais ni kauli ya mwisho:
Nimemsikiliza Jana mwanasheria mkuu wa CHADEMA Jana, kasema alivyoweza kusema lakini kuna sehemu kakosea sana tena sana kumwita mteule kuwa "karopoka".

Kwa mujibu wa kamusi, MROPOKAJI ni mtu anayezungumza au kupayuka mambo bila kufikiri.

************************
Mi nadhani wapinzani hata kama kuna nia ya kukosoa naomba tumieni lugha nzuri kukosoa! Kauli zenu zitaliingiza taifa katika machafuko!

Kama Tundu lisu anasema Rais hana mamlaka ya kufuta magazeti je anasahau kwamba;

1. Ukisoma Katiba ya jamhuri inasema kauli ya rais ikitamkwa haitakiwi kuhojiwa na mtu yeyote?

2. Muswada wowote ili uwe sheria, ni mpaka rais asaini?
3. kikatiba, ni nani mwenye mamlaka ya kutangaza njaa au hali ya hatari?

Sasa mwenye mamlaka haya na mengine ya kuteuwa waziri wa Habari na vyombo vingine, atashindwaje kufuta magazeti Kwa vigezo Vya kukiuka masharti?

Mtoto asiye na adabu; aweza muita babake mropokaji eti kisa jambo hakubaliani nalo?

Jiandaeni Kumtetea lissu baada ya mahojiano!
*********************************************************************

1. kutangaza kuwa rais "karopoka" ni uchochezi kwa kuidhalilisha taasisi na serikali.
2. nani aliyemruhusu kutangazia umma "BBC" kua tanzania kuna njaa?
3. kujipanga kuwatetea watuhumiwa wa uhalifu na wauza madawa ya kulevya.
4. kuandaa mkakati na kauli za kichochezi.
HEBU tusaidie..
TUNDU alitakiwa asemeje ili kuthibisha kauli yake?
 
Kila mtu Anahaki ya kusema fikira zake Mwenyewe

Nasikia watu wamekamatwa Marekani kwa kumwita Trump msema ovyo. Ni kweli?
 
Back
Top Bottom