MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

Jamaa bado hana maamuzi na huyo manzi,Kama vipi achia nyumba ya watu mpe vitu vyake kila mmoja ale kona..vinginevyo unapalilia bomu ambalo linapokuja kulipuka lazima mfikishane mbali huku ukiwa umeipoteza amani ya moyoni.
 
Muwe mnajitahd kua na backup
Saa hvi huko Arusha ungekua na mchepuko ungemalizia hasira kwake

* Huyo Mwanamke usimpe hata heren mtese kwanza Kama unavoteseka saa hvi... nenda kimya kimya chukua kila kitu ndani
*Ukimrudia huyo mwanamke jua sio akili yako umerogwa
*Acha kua mlain kua Mwanaume imara Kama pilsner ..
 
Pole sana. Watu ambao sio waaminifu wanatesa sana .
 
Kitendo Cha kumpa papuchi yangu MTU mwingine, uaminifu umeishia hapo...mie Huwa nazinyonya sa kama ashaipiga MTU mwingine yanini tena. Miez 3 inatosha kusahaulisha yaliyopita..

Kondamsafi tupigie stori zako za south
 
My manπŸ‘ŠYaani wanaume wote wa Dar wangekuwa hivi kama wewe mbona sie tuliye mbali tungejivunia. Hongera sana kwa maamuzi haya na ujasiri ulioufanya kwa huyu changu.
 
Choma moto mavitu yake yote rudisha funguo kwa mwenye nyumba kabizi chumba mblock hyo mbwa endelea na maisha yako!
 
Tafuta mawasiliano achukue vitu vyake na ushahidi uwepo,kama bado mda wa hiyo nyumba uliyopanga haujaisha unaweza kuchukua hata vitu vyako baadaye ,asipochukua vitu vyake anaweza akaja kusingizia kuna vilivyopotea.

Achana kuwasiliana naye baada ya hapo futa hata namba yake , nguvu uliyokuwa unatumia kumpa pesa wekeza kwenye mahitaji ya mtoto na maendeleo yako
 
Hii haina mrejesho?
 
Kama na wewe ulikuwa ukimsaliti mwenzio kabla ya kumkamata basi msamehe tu. Muanze upya shetani ni yule yule jana na leo
 
Mkuu kwanza hongera kwa kumuomba Mungu,kipindi kama hicho ni cha kuomba sana Mungu akuepushe na roho ya hasira manake utakuja fanya mabalaa mpaka ukashangaa mwenyewe.

Pili achana naye,hesabu tu kama amekufa mtoe kabisa ndani ya moyo wako..

Vaa pendeza,chukua wallet yako yenye kiasi fulani cha fedha then nenda out kakutane na watu wapya,wanawake wakishadanganywa huwa hawasikii.
 

No asimtafte tena ..hakuna cha kumtafuta kwani yeye ni MUNGU
 
Kwanza nikupongeze kea kuwa na moyo mgumu uliokusaidia kushinda Hilo jaribio la kufumania.Indeed you're one in a million maana wanaume wengi wangeshindwa kucontrol hasira zao ikija kwenye suala la kufumania.

Ushauri wangu kwako ni endelea kukaa kimya tu na Wala usijaribu kumtafuta kwenye simu maana yeye ndo mwenye kosa.Kama Ni mtu mzuri atakutafuta mwenyewe ili myasuluhishe.
 
Pata funzo kwenye hili tukio..uspojifunza kitu na hapa utakuwa mtu wa ajabu sana..MWANAUME HAPENDI MKUU MAMBO YA MAPENZI WAACHIENI WAKOREA NA WAFILIPINO .shauri yenu
 
Najiulizaga sana hivi siku nikimfumania wife sijui itakuwaje
Kama hujawahi fumania wala kuona txt zozote za mpnz wako kusifiwa ni wazi kwamba huwa humchunguzi sababu huwezi kuwa toka umeanza mahusiano mademu zako wanadate na wewe tu neva
 
Ilinitokea mimi yani sio nimeadithiwa ni demu niliamua kumpangia sehemu baada ya kuwa nimemuelewa ili ikiwezekana tuanze maisha nilimpangia ili awe karibu na eneo la kazi so nikanunua kitanda na vitu vingine kiukweli nilikuwa kama nimelogwa hata sikuelewa ila ukimpenda mwanamke unajikuta tu unamhudumia hasa kama una vihelaa... kiukweli ulipita mwezi nikaanza kuhisi ananizunguka so siku hiyo niksahtukiza kwenda pale bila kumwambia nikamkuta nachat busy sana nkaomba akanifatie soda si ndo akaacha simu aisee nkakuta msg hizo anampanga jamaa mida ya jioni aje tu me sio mume wake aisee nikajizuiaa sikumuuliza kitu... aliporud nikaaga nimeondoka ila mida flani nikarudi kutega kweli kijamaa kilikujaa ila hakukaa sana so sijui alipiga cha jogoo au vipii kesho yake asubuhi nikamwambia nahitaji funguo za chumba nadhani alihisi nimejua so kuja nkakuta kafunga kaweka chini ya ua sikumtafuta ila jioni imefika ndo hana pa kulala na jamaa ake kumbe kinyozi tu anaishi kwa bro ake ndo akajua ameyavurundaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ kiufupi aliomba sana msamaha akapiga simu sana hadi jamaa ake aliniomba sama nimsamehe maana hawajafanya chochote kibayaa kiufupi niliamua kuchukua vitu nkamwambia jamaa akilipwa kodi atanirudishia kiasi toka siku hiyoo nikajifunza kuwa MWANAMKE HATHAMINIKI HATA UFANYAJE so usijipe stress kama akizingua na wew zinguaa usimbembeleze
 
Pole sana mkuu cha kufanya futa namba na achana na huyo mtu usiwasiliane nae kwa chochote kile
Naamim huyo sio wa kwako na hata akirud bado mtakuja kugombana tu
 
 
Mmh
Too much generalization
Na sie tuseme wanaume sio kabisa kisa mmoja kazingua?

Naamini watu wametofautiana

Ila pole sana mzeee wa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…