malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,719
- 4,305
Tafuta eneo la umwagiliaji,kilimo Cha mvua hakiaminiki-nimelima heka3,nimepata gunia 120-trust me mbolea mara3-kilimo Cha umwagiliaji kinalipa,Kila gunia debe 6
Heka 45 kuzilima unazungumzia investment ya 60M+Kilimo cha umwagiliaji ndio mpago mzima kunarafiki yangu amelima heka 45 na amevuna gunia 1650 ikimaanisha kila eka imetoa gunia 36
Unawekeza 25 kwanza ukidunda unakuwa na 25 reserve. Unajitupa tena from there lazma u make headlines!Kilimo ni mtaji, na hicho ndio kinamtofautisha Masanja na wengine. Hata mimi nikipewa 50mil nikalime ni obvious nitatoboa.
Yeah ukiwa na Cushion ya mtaji inakusaidia kama backup ukidunda au mambo ikienda vibaya! Pia wenzetu wana Network pana!Daah yaani mkuu kigwangala anatisha.
Niliona na ana ng'ombe pia anapiga mnada.
Wenzetu wanafaulu coz wana mitaji ya kutosha aisee.
Inategemea kama kila kitu NI chake haifikiHeka 45 kuzilima unazungumzia investment ya 60M+
Huyo mtu hana shida kwakweli, ni mtu analima for fun!
Labda iwe hivyoInategemea kama kila kitu NI chake haifiki
God save us
Mwisho wa siku halimii njaa.Yeah ukiwa na Cushion ya mtaji inakusaidia kama backup ukidunda au mambo ikienda vibaya! Pia wenzetu wana Network pana!
Usitegemee jamaa atateseka kuuza mpunga kupitia madalali. Unakuta ngoma straight imekuwa exported to Malawi, Kenya au Rwanda. Chap kwa ukali mtu anafungasha hela zake!
Hahahah yani ndio maana wanafanikiwa maana anakuwa hana uchu sana na hayo mazao. Ni mahala pa kupumzishia hela tu.Mwisho wa siku halimii njaa.
Ukiwa nacho unaongezewa.
Alaf watu hawajui Tu , ukiwa na capital unahtaj akli Tu kutoboa , but skills without capital nothing you can do , utaenda mwendo wa Kobe sana, juzi nilimsikia Masanja anadai yeye ni mkulima wa mpunga na anawaasa vijana wajiajir , akazungumzia gharama Tu ya mbolea inashoot kwenye 36mil out of other costs Kwa ekar 150 , .....Heka 45 kuzilima unazungumzia investment ya 60M+
Huyo mtu hana shida kwakweli, ni mtu analima for fun!
Asikwambie mtu biashara yeyote ile ukiwa na mtaji wa maana inaenda freshi tu hata biashara za kijinga za faida za shilling 100/100.Alaf watu hawajui Tu , ukiwa na capital unahtaj akli Tu kutoboa , but skills without capital nothing you can do , utaenda mwendo wa Kobe sana, juzi nilimsikia Masanja anadai yeye ni mkulima wa mpunga na anawaasa vijana wajiajir , akazungumzia gharama Tu ya mbolea inashoot kwenye 36mil out of other costs Kwa ekar 150 , .....
Ukija kupiga total cost hela yake unaweza fanya mishe nyingine Tu mjin na ukamake π° kumzidi
Nimelima heka 4 msimu huu huko morogoro nimeambulia gunia 9 tu. Nikipiga hesabu ya gharama niliyotumia kwenye kilimo nasikia hasira tu.
Ila sijakata tamaa hapa nabadilisha uelekeo tu naenda kulima mbeya safari hii ila nitaongeza idadi ya heka.
Kuna sehemu wanapaita Kapunga ndio Nina mpango wa kwenda kulima msimu ujao.
Naona jamaaa bado hajakujibu but kama hutajali nenda mkoa Wa songwe wilaya ya mombo kijiji cha nkala kuna irritation safi mpunga unatoka Sana ila kabla hujaenda nitafute ili usije kupewa mashamba yasiyo na tija
Mh fanya research mkuu kuna wakulima ni matajiri wazuri wanatembelea V8 za kisasa mkuuHongera, lakini huwa naona wafanyabiashara wa mazao ndo wanatajirika sijawahi kuona mkulima akitajirika.
Asante, inategemeana na aina ya mbegu uliyopanda, Kuna mbegu zinaiva ndani ya siku 90 na 120 lkn pia Hali ya hewa inaweza kusababisha mpunga wako ukachelewa kukomaa, Kama ukilima mbegu moj wanaipenda sana hapa bahi, inaitwa NGANYARO, yenyewe huwa inarefuk tu maji yanapozidi kuwepo, inaweza fikia hata fut 5 kabisa, ila punde maji yanapokauka inabadilika rangi na kukomaa ndani ya siku chcahe tu.
Gharama: kiukweli kilimo Cha mpunga kina gharama lakni mavuno yake yanafidia Mara dufu gharama uliyotumia. Mfano mm nilikodi 150k@heka moj,
Kulima na trekta 60k@heka
Kupandikza mbegu 70@heka
KUVUNA:
Mtu wa kuamia ndge20@mwez (mahitaji yote juu yako)
KUVUNA na kupiga 4000@gania
Usafir toka mbugani mpka mashineni au stoo bahi 3500@gunia moj.
Nadhani hapo umepata picha