Mrejesho Interview ya NMB

Ila inaelekea kwa Institutions kama bank hiyo interview ilikuwa appropriate. Ila kwa vijana was kileo,I am sure it was a hard but to crack.
 
Tatizo Africa hatuangalii Creativity na Personal Skills yani tunafikir mtu kujaza makaratasi ndo anajua kila kitu

Ulitaka wapimeje creativity na personal skill zake labda...kama communication skills 0 na analytical skills 0 pia time management/maximization 0!?????
 
Sijaelewa pale walikuwa wanapima...nini kwa maana...Hata uwe fresh from school huwez solve maswali 18 ya hesabu kwa dakika 14...halafu maswali yenyewe vigongo...

Aujui hesabu itakua, kuna hesabu za kuangalia tu na unaandika jibu
 
Ila wanazingua nilifanyia pale HQ leo hii eti database ya majibu ilizingua ndio tukarudia Tz figisu hatujambo
 
Hongera sana kwa kuitwa kwenye interview wewe ni jembe tunatuma maombi kimya hakuna majibu tunashtukia interview imepita naamini kuwa utakuwa umepata uzoefu naamini kabsa siku nyingine ukiitwa unajuwa jinsi ya kujianda maeneo gani ya muhimu. Don't losing hope
 
bro pumzi imekata,nakuelewa sn mzee umri umeenda
tatizo umri sio hatujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…