Mkuu wewe si ndio huwa bingwa wa kuwakatisha tamaa vijana wa kule kwenye thread ya JKT hahahah! Pole sana ndugu yangu sasa fanya maamuzi magumu ya kujiajiriAssessment Test ilikua Online pale NMB academy GEPF tower-Victoria ilikua fresh tuu lakini si kwa Upande wangu ngoja nikomae kwingine.
Verbal test Maswali 30 halafu unasoma Comprehension Muda Dakika 17. Mi najiona nimeshakua Mzee kumaliza hayo Maswali.
Numerical Test.
Maswali 18 ya hesabu muda ni dakika 17 here I felt I am too old again to finish the race.
MY TAKE SITAENDA KUFANYA INTERVIEW TENA NMB.
Kuwa makini Mimi sijamaliza mwaka Jana au Juzi na Pia sina umri wa kujiunga na JKT just career shift na nimehudhuria hiyo interview......hivyo ndo huwa ilivyo kwa Career nyingine tofauti na majeshi ni Mara ya tatu nahama.Mkuu wewe si ndio huwa bingwa wa kuwakatisha tamaa vijana wa kule kwenye thread ya JKT hahahah! Pole sana ndugu yangu sasa fanya maamuzi magumu ya kujiajiri
Kilichonifurahisha ni hayo majuto yakooKuwa makini Mimi sijamaliza mwaka Jana au Juzi na Pia sina umri wa kujiunga na JKT just career shift na nimehudhuria hiyo interview......hivyo ndo huwa ilivyo kwa Career nyingine tofauti na majeshi ni Mara ya tatu nahama.
Assessment Test ilikua Online pale NMB academy GEPF tower-Victoria ilikua fresh tuu lakini si kwa Upande wangu ngoja nikomae kwingine.
Verbal test Maswali 30 halafu unasoma Comprehension Muda Dakika 17. Mi najiona nimeshakua Mzee kumaliza hayo Maswali.
Numerical Test.
Maswali 18 ya hesabu muda ni dakika 17 here I felt I am too old again to finish the race.
MY TAKE SITAENDA KUFANYA INTERVIEW TENA NMB.
Kuwa makini Mimi sijamaliza mwaka Jana au Juzi na Pia sina umri wa kujiunga na JKT just career shift na nimehudhuria hiyo interview......hivyo ndo huwa ilivyo kwa Career nyingine tofauti na majeshi ni Mara ya tatu nahama.
Ungeniomba ushauri mapema,nicngekushaur uende kufanya interview nmb,ni moja ya taasisi zenye upendeleo sana ktk ajira.[/QUOTE
haaa haaa
pole sana mkuuAssessment Test ilikua Online pale NMB academy GEPF tower-Victoria ilikua fresh tuu lakini si kwa Upande wangu ngoja nikomae kwingine.
Verbal test Maswali 30 halafu unasoma Comprehension Muda Dakika 17. Mi najiona nimeshakua Mzee kumaliza hayo Maswali.
Numerical Test.
Maswali 18 ya hesabu muda ni dakika 17 here I felt I am too old again to finish the race.
MY TAKE SITAENDA KUFANYA INTERVIEW TENA NMB.
Pole sana Mkuu, ukiona hivyo ujue hawahitaji mtu hapo, wameamua kuwaacha kwa mtindo huo.Assessment Test ilikua Online pale NMB academy GEPF tower-Victoria ilikua fresh tuu lakini si kwa Upande wangu ngoja nikomae kwingine.