Mrejesho: Huyu msichana simuelewi

Mrejesho: Huyu msichana simuelewi

wanawake bhn cjui watu wadzain gan huwa hawajifunzi tokakna na makosa..jifunzen asee
 
Unajishaua buree unampenda basi tu unataka kujiliwaza
 
Nilijihami kwasababu lolote lingetokea yapo mambo mengi humu yamewakuta wadau kwa staili hio mtu anaweza kukutengenezea tukio la ajabu
kwaio nilienda na kasi ya mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom