Mrejesho: Hatimaye ni mjamzito

baptist

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
434
273
Wiki moja niliposti kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito kwa mwanamke, mkanishauri vizuri sana.

Hatimaye jumapili ya juzi amepima na she is pregnant.

Asanten sana wakuu hamjawahi kuniangusha.
 
Wiki moja niliposti kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito kwa mwanamke, mkanishauri vizuri sana... Hatimaye jumapili ya juzi amepima na she is pregnant.. Asanten sana wakuu hamjawahi kuniangusha..
Jitahii kuzingatia maelekezo ili mfikie mwisho, hongera sana, kuna maudhi madogo na hata makubwa huna budi kuyavumilia, nashukuru mungu siku zinaenda nahesabu miez to get my first born, mola atujaalie afya njema
 
Wiki moja niliposti kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito kwa mwanamke, mkanishauri vizuri sana... Hatimaye jumapili ya juzi amepima na she is pregnant.. Asanten sana wakuu hamjawahi kuniangusha..
Hongera baba kijacho, mvumilie sana kwani atakuwa na hasira kila mda tena Bila sababu
 
Back
Top Bottom