Mrejesho: Hatimaye Hajir wangu anaolewa

Mrejesho: Hatimaye Hajir wangu anaolewa

Nikisikiaga mtu anamlilia mwanamke huwa natamani hata kumchapa makofi. Unatendwa na mwanamke mmoja unaanza kulialia na kujiapiza hutaki mwanamke!?

Mimi nadhani mtoa mada ni mtoto sana, au hana uzoefu kwenye haya mambo.
 
Ni matumaini yangu mmeamka salama kama Mimi. Mlioamka vibaya, Mungu awasimamie siku yenu iwe nzuri.Bila kupoteza wakati naanza kutiririka yaliyomo moyoni mwangu.

Siku chache zilizopita nilileta Uzi humu nikielezea jinsi nilivyomkumbuka X wangu Hajir ambae tuliachana kisa linimzaba kofi moja la kikurya baada ya kumkuta anachati na jamaa. Nashukuru watu wengi walinishauri niongee nae ikiwezekana tuyajenge ili hali yetu irudi kama zamani. Kwa kuwa nampenda Hajir, niliamua kumtafuta hadi kwenda kwao ili niweze kuyajenga nirudishe furaha yangu. Yaliyonikuta huko kwao mpaka kesho sitasahau...kumbe wanawake ni ny*k* kiasi hicho!

Huyu mjinga si amechumbiwa na ndoa yake mwezi wa kumi. Yaani nilipoambiwa hivyo na brother wake Ali nilijihisi kama vile nimefungiwa mzigo mzito mdomoni. Sikuwa na la kuzungumza zaidi ya kuchuruzikwa na machozi ya hasira. Mbaya zaidi nasikia anaolewa na Kei.

Kei ndo wa kunifanyia hivyo Mimi? Kei mshikaji wangu nimepiga naye O level. Na ndiye aliyekuwa ananambia kuwa Hajir ni kama vile hajatulia. Ndo Kei huyu huyu mtoto wa mama Kei. Ambaye nilikuwa na msaidia kwenye masomo. Dah, watu hawanashukurani hata kidogo!!

Sasa nimeamua kumove on na maisha yangu. Nahisi kwa sasa nahitaji mtoto tu; sitaki kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke. Maana nikiishi na mwanamke yeyote ntakuwa najidanganya tu maana Hajir peke yake ndiye mwanamke ninaempenda japokuwa kanitenda. Anyway, kwenye ndoa yake nimepanga kumpelekea zawadi kupitia kwa rafiki yake Aisha. Naamini akiipata hiyo zawadi, atajua Mimi pekee ndiye ninae mpenda kuliko hata mama yake anavyompenda.

Asanteni muwe na Siku njema.
pole kwa yaliyo kukumba.
 
Kwa hiyo Kei ameamua kumchukua demu wako?
Halafu wakati Kei anajipanga kwenda kuoa hakukwambia kwamba anaoa?
Hapa inaonesha Kei hakuwa mshikaji wako ila wewe ulitaka zaidi kuwa mshikaji wake.
Anyway mtu anayekupiga ngwala ili kukudondosha ni yule aliyekaribu yako.

So just Move On, Maisha ndio haya haya.
Asante sana mkuu
 
Unategemea angeendelea kukusubiri mpaka ujisikie kumrudia? Wengi yanawatokea haya. Mtu anakurupuka na kumsema mwenzake kwa maneno mabaya ya kejeli na kumtukana, anamuacha akidhani amemkomoa kumbe umejikomoa mwenyewe. Unarudi unalia heeee.... hata mimi nisingekusubiri, ukinitema natemeka.
Kila binadamu hukosea
 
Ni matumaini yangu mmeamka salama kama Mimi. Mlioamka vibaya, Mungu awasimamie siku yenu iwe nzuri.Bila kupoteza wakati naanza kutiririka yaliyomo moyoni mwangu.

Siku chache zilizopita nilileta Uzi humu nikielezea jinsi nilivyomkumbuka X wangu Hajir ambae tuliachana kisa linimzaba kofi moja la kikurya baada ya kumkuta anachati na jamaa. Nashukuru watu wengi walinishauri niongee nae ikiwezekana tuyajenge ili hali yetu irudi kama zamani. Kwa kuwa nampenda Hajir, niliamua kumtafuta hadi kwenda kwao ili niweze kuyajenga nirudishe furaha yangu. Yaliyonikuta huko kwao mpaka kesho sitasahau...kumbe wanawake ni ny*k* kiasi hicho!

Huyu mjinga si amechumbiwa na ndoa yake mwezi wa kumi. Yaani nilipoambiwa hivyo na brother wake Ali nilijihisi kama vile nimefungiwa mzigo mzito mdomoni. Sikuwa na la kuzungumza zaidi ya kuchuruzikwa na machozi ya hasira. Mbaya zaidi nasikia anaolewa na Kei.

Kei ndo wa kunifanyia hivyo Mimi? Kei mshikaji wangu nimepiga naye O level. Na ndiye aliyekuwa ananambia kuwa Hajir ni kama vile hajatulia. Ndo Kei huyu huyu mtoto wa mama Kei. Ambaye nilikuwa na msaidia kwenye masomo. Dah, watu hawanashukurani hata kidogo!!

Sasa nimeamua kumove on na maisha yangu. Nahisi kwa sasa nahitaji mtoto tu; sitaki kuishi na kiumbe anayeitwa mwanamke. Maana nikiishi na mwanamke yeyote ntakuwa najidanganya tu maana Hajir peke yake ndiye mwanamke ninaempenda japokuwa kanitenda. Anyway, kwenye ndoa yake nimepanga kumpelekea zawadi kupitia kwa rafiki yake Aisha. Naamini akiipata hiyo zawadi, atajua Mimi pekee ndiye ninae mpenda kuliko hata mama yake anavyompenda.

Asanteni muwe na Siku njema.
Id imebeba jina la mtu aliyefanya makubwa katika historia ya dunia hii, ila wewe naona unawaza na kuleta hapa mawazo ya chini mno. unatuaibisha mno.
 
pole sana so think beyond your mind
 
Nowadays idadi ya matukio ya wanaume kuumizwa kwenye maswala ya mahusiano inakua kwa kasi ya kimbunga. Lazima mjiulize na wapi tunakosea haipiti siku lazima mwanaume alete uzi wa kufanyiwa mbaya kwenye maswala ya mapenzi... Inasikitisha sana ila wengi nazani 90% ya muda wenu mmeuweka kwenye maswala ya mapenzi. Pole sana kaka wa kwako itakua hajazaliwa [emoji2]
 
Asante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ni kama maji, huwezi kutususa.
 
Back
Top Bottom