Mrejesho, gari langu limepona

Dormant Account

JF-Expert Member
Apr 5, 2022
11,418
32,516
Nashukuru sana gari langu limepona

Changamoto ni chache chache tu zimebaki ilikuwa na tatizo la check engine kuwaka nguvu ikawa haina nikapata fundi amerekebisha now nakula misele tu japo hela imenitoka kidogo mm siyo mtaalamu wa spare za magari ila aliniambia sensor imekufa,plug zikabadilishwa, oil pump sijui pump gani tena ilikufa na vingine vidogo vidogo sivijui

Nashukuru wana JF niliandika uzi humu nikapata washauri wengine walini pm nikapata ushauri wao asanteni sana now nakula misele tu kitaa
 
Nashukuru sana gari langu limepona Changamoto ni chache chache tu zimebaki ilikuwa na tatizo la check engine kuwaka nguvu ikawa haina nikapata fundi amerekebisha now nakula misele tu japo hela imenitoka kidogo mm siyo mtaalamu wa spare za magari ila aliniambia sensor imekufa,plug zikabadilishwa, oil pump sijui pump gani tena ilikufa na vingine vidogo vidogo sivijui nashukuru wana JF niliandika uzi humu nikapata washauri wengine walini pm nikapata ushauri wao asanteni sana now nakula misele tu kitaa

Mmmmh check engine ndio vitu vyote hivyo?

Sensor gani iliyokufa?
 
Back
Top Bottom