Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Niaje Wazeiyaaaaaaaaaaaaaaah...
EBANA SAWA:
Mnakumbuka majuzi hapa nilikuja kulalamika humu kuwa yule ex-gf wangu (nilieanza kumgonga tangu yuko form two nikaja kumtema alipofeli form four) jinsi alivonitia hasara baada ya kunitafuta na kusema anataka tuonane, sasa mimi nikajiandaa tayari kwa kupasha kiporo... Unfortunately dogo akaja na ndugu yake (bla bla bla nyingi unaweza ku review hapa chini)
ex-gf wangu kanitia hasara tuu.
SASA MAZEE:
Wakat nikianza kusahau machungu ya zile pesa zangu za:
1. kule PATAYA (25,000 yangu kubabake inaniuma)
2. mikuku, misoda na michipsi walioshika shika na kuacha pale UDBS
3. nauli nilizowalipia kuja na kurudi
4. pamoja na muda niliopoteza for nothing (maana nilitoroka kwa ofisi that day).
KAMA ZALI BANA:
Jana yule mdogo wake aliekuja nae that day (dogo yuko form six shule moja matawi bagamoyo) kanipigia cm. NGRRRRRRRRRRRRRRRRR
Chief: Hello!!
Dogo: Hello mimi Noor (sio jina lake halisi)
Chief: Ahaaa.. habari za toka siku ile, uko wapi??
Dogo: niko home tangi bovu. Nilikua nakuaga kesho naenda shule!!
Chief: Daaah.. kwahiyo ndio sikuoni tena nikuage. kwani E (yule ex-gf wangu) yuko wapi??
Dogo: Amesharudi moro week sasa. Njoo tangi bovu tuagane..
Chief: Daah (napenda kusema Daaah) niko job siwezi kutoka. Nikwambie kitu??
Dogo: I am listening (dogo anajifanya ngeli imemkoleeeeea)
Chief: kwani ni lazima uondoke kesho?? Kwanza utaendaje Public holiday, wapige kiswahili home uondoke Jpili.
Dogo: Sawa, nitajaribu kumdanganya mama. Lakin akikubali inabidi tuonane Saturday.
Tukaongea mengi kishenz, main point ni kuwa dogo kajileta mwenyewe, mie wala cjamtafuta. Cjui alidata na swaga zangu that day. Na uzuri ex-gf wangu asharudi moro (what a golden chance).
YAANI MAZEE:
Sasa zile hasira zangu za cku ile, kubabake nitazimalizia Jmosi (endapo dogo hatazingua).
Yaani kubabake nitahakikisha namkamua dogo mpaka aombe poo. Ku avoid kurudia makosa, nitahakikisha dogo huyu hapa kafika (peke yake) ndio naenda kutafuta chimbo (sasa hivi pande za kulee Moveck Hotel, sitaki tena PATAYA).
Hureeeeeeee... Ngoja kwanza niende tizi mida hii, nijiweke fiti yasije yakanitokea kama yalivonitokea kwa demu wangu pale Landmark hotel (ile kuingiza tuu, waarabu haoo!!)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]