Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Niaje Wazeiyaaaaaaaaaaaah....
EBANA SAWA:
Mnamkumbuka yule dogo ex-gf wangu (nilowaambiaga kuwa kila napomkumbuka lazima stimu zinipande nanyakua mto najilipua..... Yule niloanza kumgonga tangu yupo form two nikaja kumpiga chini kimazabe)
SASA BANA:
Juzi ucku mtu mzima nimejiachia ghetto, mara cm NGRRRRRRRRRR......
Kucheki hivi namba ya dogo... Nikahamaki "dogo amemiss mkurungu wangu nini... Huyu kama amekuja mjini lazima nimtusue, nimbanjue, nimkaze, nimle".
Kupokea cm dogo anarembua:
Dogo: "Nipo mbezi tangi bovu, tumekuja kula sikukuu"
CHief: "Ahaa..poa karibuni, unaondoka lini"
Dogo: "Tarehe mbili, unapatikana vipi, nikuone"
Chief: "Kesho njoo tukutane mawasiliano"
Dogo: "Poa, lakin iwe mapema maana Shangazi hapa anatoka kazini saa kumi na moja"
EBANAEEEEE:
Usiku huo huo nikaenda pharmacy kuchukua soksi, tayari kwa kupasha kiporo (cjui kitakua kimechacha kubabake).
Asubuhi mapema Engineer nikatoroka kwa ofisi, huyooo mpaka Ubungo Riverside kwenda kuandaa uwanja wa mechi (pale nyuma ya Riverside Social Hall kuna lodge inaitwa "PATAYA") fasta 25,000 mkononi nikapewa daftari la wageni (wassenge wamepandisha mwezi wa kumi nilikuja bei ilikua 20,000).
Hata cjamaliza kujaza details zangu dogo huyooo kapanda hewani:
"Nipo mawasiliano upande wa magari ya tegeta"
Fasta nikadondoka pale kufika hivi Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dogo kumbe hajaachaga tu ushamba wake!!! Si amekuja pamoja na dada yake, cjui binamu yake yule..!!! Mwili ukalegea, Dushe langu lililokua lishadinda likalala...
Nikachange gear angani, nikawapeleka UDSM pale UDBS nikawapiga makuku choma machipsi na ma vyoda mfululizo labda binamu mtu angelegea na kutuacha pale... lakini waaaapi!!!
Nyama zenyewe wamenusa nusa tuu wameziacha kubabake wangejua loss niloingia plus 25000 yangu kule "PATAYA"
Mwanaume wakati akili inazunguka "What to do now??"
Mara wananiaga "Sie tunaondoka Engineer" (hawajui kama nishakua Chief)
"Mbona mapema hivi jamani" eti "Tunamuwahi shangazi asije kurudi home sie hatupo"
DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH:
1. Kazini nimetoroka
2. Muda nilopoteza
3. 25k yangu PATAYA ileeeeeee imeyeyuka
4. Misosi waliyonusa nusa na kuiacha pale UDBS
5. Nauli za wao kuja na kurudi Tangi bovu.
Kwa kweli huyu Ex-gf kanitia hasara, yaani sijui ni ushamba ama alidhamiria.....
Halafu inaonekana dizaini kama hana mtu stable wa kumtunza maana nimemcheki usoni amechakaa chakaa ana vi upele upele amekua mweusi.... Tisa kumi, nguo alizokuja nazo ni zileeeee za mwezi wa pili wakati namgegeda mara ya mwisho.....
Yaani nilikuaga nawaza labda kuna siku tutarudiana lakin kwa situation hii, Hamna tuu...
Na haya ma soksi ngoja nikayatupe demu wangu mpya asije akayaona bureeeeeeee ikawa kashesheeee!!!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]