Mrejesho : Collabo Kati Ya Chid Benz na 2Pac.


KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,090
Likes
3,230
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,090 3,230 280
Salaam wakuu.

Kuna wimbo ulikuwa ufanyike baina ya Chid Benz na 2Pac Shakur. Tumeusubiri kwa hamu kubwa wimbo huu toka kwa wasanii hawa ila nimeona kimya mpaka hii leo.

Sasa, nimechukua nafasi hii kuja hapa jukwaani kuwaletea hiki kitu kwa kujua mrejesho kuwa huu wimbo ni umeshatoka au umevuja kabla ya kuachiwa rasmi...?

Hebu tumsikilize Chid Benz hapa chini akithibitisha kuhusu Collabo hiyo baina yake na 2Pac Shakur.

Chid Benz and 2Pac
 

Forum statistics

Threads 1,235,541
Members 474,641
Posts 29,226,119