Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

Ndama dume, hiyo ya huyo jamaa hapo kigogo ni aina gani!? Nina interest na hii biashara sana na kamtaji ninako!
 
Kaza buti na sasa ni muda muafaka kuleta mrejesho tangu hiyo July 2020! Sema na wewe usomeke!
 

Mimi nina maswali mengi sana, nimekuwa nawauliza wote walioko migodini; na nazidi kuuliza mpaka kieleweke. Kwanza ni kuhusu hicho kipimo cha "ppm", ni nini? Nadhani kitakuwa kina pima wingi au uwepo wa dhahabu kutoka kwenye kitu fulani, ujazo fulani! Sasa ujazo huo ni nini -DUMU, KIROBA AU KUTOKA KWENYE NINI? Halafu hizi bei za KARASHA, mbona zinatofautiana sana, Chunya wana zao na Geita au Kahama wana zao au ni kufuatana na UWEZO WA UJAZO WAKE? Karasha la 4mi/= lina tofauti kiujazo/uwezo na lile la 8mi/=? Kwani hapo juu Wangari anasema "hiyo 4m/= ni mfuko mmoja kusaga"! Nasubiri ELIMU!
 

Habari mkuu uliipata hiyo machine?
 
Mkuu ulifanikiwa kumpata mtu wa kununua mashine kama iyo?
 
Kudili na watu ni kazi kubwa sana.

That's why Mimi nilichagua kudili kitu kimoja tu regardless makelele ya watu humu na kukatishana tamaa

As long mimi naona it's ok kelele hazina nafasi kwangu.

Ukitaka kufanya kitu fanya achana na kelele za watu
 
Hongera sana brother unatuinspire sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…