Hongera sana embu elezea kiundani kidogo... unanunua kutoka kwa nani unamuuzia nani (elaborate)
Mie namuomba mtu mwenye mtaji wa kununua machine hii aje tuyajenge tuingie porini na baada week moja atakuja na mrejesho wenye furaha.
Angalizo sihitaji pesa zako ila nataka ukanunue machine mwenyewe then njoo twende wote maeneo yenye dhahabuView attachment 1494033View attachment 1494034
Machine hii inauzwa kati milion 14 hadi 15 inategemea na inatoka nchi gani japo zipo ndogo 8m had 10m pia.Mkuu hiyo Mashine inauzwa sh ngapi na matumizi yake hasa ni yapi
Nimependa idea.Machine hii inauzwa kati milion 14 hadi 15 inategemea na inatoka nchi gani japo zipo ndogo 8m had 10m pia.
Machine hii kazi yake kubwa ni kudetect mahali ilipo dhahabu na kutoa mchoro wa 3d kama ambavyo geologist huwa wanaichora so ukiwa na hii machine utamaliza kila kitu, lakini pia utachimba mahali ambako tayri unauhakika na mali iko umbali gani na kuna mwamba wa aina gani au maji yapo ya ujazo upi na mali ipo ya ukubwa gani.
Faida kubwa ya hii machine ukiwa nayo hata mtu anaemiliki costar hapa hafui dafu maana wachimbaji wadogo wataacha kwenda kwa waganga wa kienyeji tayari wewe utakuwa mganga wao hivyo kwa week kutengeneza 5m sio shida kwa kuwapimia maeneo ya kuchimbia.
Faida nyingine wewe mwenyewe ukiwa na hii machine na unajuwa kuitumia ipasavyo na ukaunda kikundi cha kuchimba baada kupima hapa nahisi baada miezi leizer atakuja kukusalimia.
Mfano kigogo kuna jamaa ana machine moja ina uwezo wa kupima kwenda chini 1m tu lakini kwa mwezi hakosi 4m na kuendelea je hiyo ya 50m kwenda chini na mapana inapima 3000m huoni kuwa hapa hii italipa zaidi lakini bado itafanya vitu vingi kitaalamu.
Karibu sana kwa mtu yeyote mwenye mtaji sitaki hela ila naitaka hiyo machine tu kanunue mwenyewe uje nayo utakuja useme kwa nini nilichelewa namna hii
Karibu mkuunimependa idea
Unajua kusoma maandishi ukutani. Salute!ππππ! Hatari Sana!..huu Uzi muwe makini jamani
π€Έππ! Maisha yangekuwa rahisi hivyo asingekuwepo wa kulalamika...wote tungehamia Geitaπ€ΈπUnajua kusoma maandishi ukutani. Salute!
Nicheki inbox bro tuyajenge kama upo serious lakini.Machine hii inauzwa kati milion 14 hadi 15 inategemea na inatoka nchi gani japo zipo ndogo 8m had 10m pia.
Machine hii kazi yake kubwa ni kudetect mahali ilipo dhahabu na kutoa mchoro wa 3d kama ambavyo geologist huwa wanaichora so ukiwa na hii machine utamaliza kila kitu, lakini pia utachimba mahali ambako tayri unauhakika na mali iko umbali gani na kuna mwamba wa aina gani au maji yapo ya ujazo upi na mali ipo ya ukubwa gani.
Faida kubwa ya hii machine ukiwa nayo hata mtu anaemiliki costar hapa hafui dafu maana wachimbaji wadogo wataacha kwenda kwa waganga wa kienyeji tayari wewe utakuwa mganga wao hivyo kwa week kutengeneza 5m sio shida kwa kuwapimia maeneo ya kuchimbia.
Faida nyingine wewe mwenyewe ukiwa na hii machine na unajuwa kuitumia ipasavyo na ukaunda kikundi cha kuchimba baada kupima hapa nahisi baada miezi leizer atakuja kukusalimia.
Mfano kigogo kuna jamaa ana machine moja ina uwezo wa kupima kwenda chini 1m tu lakini kwa mwezi hakosi 4m na kuendelea je hiyo ya 50m kwenda chini na mapana inapima 3000m huoni kuwa hapa hii italipa zaidi lakini bado itafanya vitu vingi kitaalamu.
Karibu sana kwa mtu yeyote mwenye mtaji sitaki hela ila naitaka hiyo machine tu kanunue mwenyewe uje nayo utakuja useme kwa nini nilichelewa namna hii
Acha kukatisha watu tamaa[emoji1732][emoji14][emoji106]! Maisha yangekuwa rahisi hivyo asingekuwepo wa kulalamika...wote tungehamia geitaaa[emoji1732][emoji14]
Hey...hebu niache tafadhari..Nani nimemkatisha tamaaAcha kukatisha watu tamaa