The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,081
- 117,688
Unataka kujua kua nimesha oa au bado ili uninyime nini rafiki?Wewe haya yote umeyajulia wapi umeisha oa?
😎 😎

Jibu swali kwanzaUnataka kujua kua nimesha oa au bado ili uninyime nini rafiki?
😎 😎
Wanaume wamekua watumwa kwa wanawake, na ndio maana wanakufa mapema, huo usiku ndio wa kupumzisha akili, ukiamka kitu cha kwanza unafikiria namna ya kupata pesa na uzeeni utaishije, sasa mchana unakimbizana na pesa, usiku unaota ili upewe pussy, kuna kupona kweli hapo?Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.
Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota hadi natembea nikatoka chumbani hadi sebleni, akanifata akasema leo unanini siuamke uombe jamani?
Nikaona hii haijatosha nikajilaza tena kwenye saa 11 hivi nikajifanya kuota naota huku namtaja mke wangu na mwanamke mwingine kuwa aniache basi mke wangu kwa hamu ya kujua nachepuka nanani akawa anauliza huyo mwanamke ni wawapi huku naamushwa nijibu bada ya kuamka nikamsogeza haikupita dk 20 kitu kimo.
Hahaaaaa
Pia soma: Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?
Nitakujibu tukiwa wawili,yaani mm na wewe tu.Jibu swali kwanza
Hongera,kwahiyo umepata leo!kama nakuona na uso umechangamka kiasi chake...Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.
Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota hadi natembea nikatoka chumbani hadi sebleni, akanifata akasema leo unanini siuamke uombe jamani?
Nikaona hii haijatosha nikajilaza tena kwenye saa 11 hivi nikajifanya kuota naota huku namtaja mke wangu na mwanamke mwingine kuwa aniache basi mke wangu kwa hamu ya kujua nachepuka nanani akawa anauliza huyo mwanamke ni wawapi huku naamushwa nijibu bada ya kuamka nikamsogeza haikupita dk 20 kitu kimo.
Hahaaaaa
Pia soma: Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?
Ahaa unaogopa kujibu hapa usiwapeperushe ndege wako wa jiefu?😂😂😂😂Nitakujibu tukiwa wawili,yaani mm na wewe tu.
Sina ndege hapa,ndio nataka nijifundishie kwako kuwinda.Ahaa unaogopa kujibu hapa usiwapeperushe ndege wako wa jiefu?😂😂😂😂
Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.
Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota hadi natembea nikatoka chumbani hadi sebleni, akanifata akasema leo unanini siuamke uombe jamani?
Nikaona hii haijatosha nikajilaza tena kwenye saa 11 hivi nikajifanya kuota naota huku namtaja mke wangu na mwanamke mwingine kuwa aniache basi mke wangu kwa hamu ya kujua nachepuka nanani akawa anauliza huyo mwanamke ni wawapi huku naamushwa nijibu bada ya kuamka nikamsogeza haikupita dk 20 kitu kimo.
Hahaaaaa
Pia soma: Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?
Wewe unaweza kumnyima mumeo papuchi kwenye case gani?Toen na sababu ambazo mnafanywa mnanyimwa papuchi
Aiiiiiiiiiiiiii utapaweza hapa?Sina ndege hapa,ndio nataka nijifundishie kwako kuwinda.
😀😀
Afadhali yako.vzr sanamhhh hyo ndoa au tamthilia?.mm nikijua sijampa mume wangu naumia moyo
Kwanini nisipaweze? Simba mwenyewe ni mkali ila anawezwa,Nungunungu mwili wake wote una miba lakini anazalishwa.Aiiiiiiiiiiiiii utapaweza hapa?
Kumbe eeh? Hii inavutia unapokuja wakati sahihi na siku sahihi 😅 very interesting.Kwanini nisipaweze? Simba mwenyewe ni mkali ila anawezwa,Nungunungu mwili wake wote una miba lakini anazalishwa.
😎
Leo ni Sunday.Kumbe eeh? Hii inavutia unapokuja wakati sahihi na siku sahihi 😅 very interesting.
Hivi leo siku gani?
Unaumwa weweLeo ni Sunday.
😎