Mrejesho baada ya kuagiza bidhaa mtandaoni.

Mrejesho baada ya kuagiza bidhaa mtandaoni.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,267
Reaction score
25,556
Wiki kadhaa zilizopita niliwasilisha thread hii hapa 👇.


MREJESHO:
Jamaa wamekuwa waaminifu nimepokea parcel imeletwa mpaka mlangoni kwangu.

NB. Wale waoga na wenye hofu nadhani tuachane na itikadi hiyo zingatia bidhaa unayonunua mtandaoni wakati mwingine inakuwa na bei "elekezi" ya chini kuliko kununua hapa bongo

MUHIMU:
Ukiagiza uwe na subra ya week mbili ili upokee mzigo wako, vinginevyo utaleta mrejesho hapa kuwa umepigwa 😂!
 
Ok poa bro next time ntakuagiza simu na PC maana wanajua hadi kwako[emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Utanisaidia bila shaka
 
Ok poa bro next time ntakuagiza simu na PC maana wanajua hadi kwako[emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Utanisaidia bila shaka
😂 mkuu hata wewe ukiingia huko watapafaham kwako kulingana na maelekezo ya wapi wakuletee pindi mzigo wako ukifika.
 
Poa mkuu ishu inakuja mzigo unafika mwenyenyumba keshanitoa nduki na ananidai[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui kama mzigo ntauona.

Anyway asante kwa mrejesho ntajaribu nataka PC na simu acha nijilipue tu
[emoji23] mkuu hata wewe ukiingia huko watapafaham kwako kulingana na maelekezo ya wapi wakuletee pindi mzigo wako ukifika.
 
Back
Top Bottom