Mrejesho 2: Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

ACHA makasiriko Bro. Mimi nimetoa ushuhuda tu wa kilichonitokea. Lakini pia ni kuwapa watu hamasa kwamba , wanapaswa kuwa makini kama Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilivyo makini. Wasifanye utani kabisa na picha ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Na kuhusu Sijui KIPAJI....oya...KIPAJI pasipo Karama, au Kipawa ama Talanta...ni Sawa na Kazi bure. Kwani we USHAWAHI kuona wapi gari la gurudumu Moja?

Unadhani kwanini gari la RAIS linalindwa vile? Huku wasaidizi wake wakilikimbiza pande zote za matairi??? Oya changamka wewe...hii ni 2023!!!!
 
Siko Bunda mkuu japo ndio nyumbani kwetu nipo Morogoro kwa sasa baada ya kuvurugwa na mwanamke
Chizi kweli we jamaa....we ushaona wapi ..na utaweza vipi kuishi na Mwanamke kwà kutumia UCHIZI, WEHU au UKICHAA.


Changamka Bro..., Ishi na mwanamke kwà kutumia Akili!!!! ACHA uboya!!!!
 
Confirmed : Wewe ni mwana Jf wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya Jf , na kama mpaka sasa una mawazo kama uliyoelezea kwenye uzi na kufikia ujinga wa kiasi kikubwa namna hiyo basi utakuwa hasara kubwa kwa familia , ukoo na nchi kea ujumla.

#Badilika
 
Oya..nasemaje.... Mungu hatoki kijijini kwenu.....na tena Mungu sio Athuman....mbona tungekoma!!!! ACHA makasiriko!!!
 
Mnatutega mtufunge eeeh. Tumewashtukia
 
Zikiisha Tena usiache kuomba . Formula za maisha ninyepesi sema tunakua serious Sana
Tatizo watu wanapenda kukaririshwa vitu...hawapendi kuhoji...like...why kila nikienda kwenye ofisi za UMMA au kwenye baadhi ya ofisi za biashara , kunakuwa na picha ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Nini maana yake....hata kama usipopewa jibu la kueleweka....relax ..sit ...down ...think about...#meditate... mpaka ukutane na aliyetoa wazo la kuweka picha ya RAIS sehemu hizo... simple!!!
 
Mnatutega mtufunge eeeh. Tumewashtukia
Usiogope Ndugu yangu! Rais wetu mpendwa Mhe. Dkt SAMIA SULUHU HASSAN mtu Kazi sana. Sio mtu wa makasiriko...hana roho ya choyo! Ni mtu Kiboko kabisa...amenyooka...hajarogwa!
 
Mbinu zote zimeshindikana sasa ulozi unageuzwa kuwa muujiza
 
Hongera! Uzi mzuri sana.
It is written,"
but God chose the foolish things of the world, that he might put to shame them that are wise; and God chose the weak things of the world, that he might put to shame the things that are strong;
 

Itoshe tu kusema Wazanzibari mchezo wenu tumeugundua.

Kutoka Cuba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…