Mrbeast amenifanya nione nilikua sahihi

Mrbeast amenifanya nione nilikua sahihi

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,068
Reaction score
1,491
Daah! Nakumbuka kitambo hicho kidogo nikiwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20. Baada ya kuona elimu ya bongo nimiyenyusho eti nitumie cheti cha form four baada ya kupata div three six. Nilitaka kujiajiri kupitia YouTube kwamba ningekua natengeneza video za 3d animation kupitia blender software zinazohusu physics na ku upload kule YouTube. Hii ni baada ya kupata msukumo kutoka Kwa jamaa mmoja muhindi alikua ana channel inaitwa learning engineering. Vikwazo nilivyopata vimeaniacha unsocial Hadi Leo.
 
Vijana fanyeni kazi
 
Brother alikua mjanja mjanja sana wa tech na internet kipindi nakua, nikiwa primary Brother alikua anazungumza sana na washikaji zake wakiwa home kuhusu bitcoins hiyo ni 2010 huko.
2012 niliaza form one ,zile story za bitcoin nilikua nawasimulia sana washikaji.
Sadly niliishia kupiga domo tu sikufanya maamuzi yeyote by the time 1 bitcoin ilikua ni 12USD leo ni USD74k
Poor me and my brother ,angenunua hata tano tu leo angekuwa na kampuni yake ya mabasi labda asingekuwa anahenyeka kwa wachina.
 
BAdo unapumua. Hakijaharibika kitu
 
Aaaah! Noma sana aisee haya maisha tuache kua matomaso halloo inabidi tuwe tunajaribu aisee
 
BAdo unapumua. Hakijaharibika kitu
Huko nishatoka mkuu,Asante.
 
Back
Top Bottom