Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 345
- 307
Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.
kwanza napenda kuchukua nafasi hii kuwasalimu wanabodi wote bila ya kusahau wale wenzangu waliotoka BCS ! Wanabodi kwa muda mrefu tangu JK achaguliwe kuwa rais amekuwa akimwagiwa sifa kem kem hapo nchini , na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi nini hasa kilichowavutia wazalendo ?
Juzi nilipata habari ya kuwa JK angehutubia watanzania hapo Washington , basi bila ya kusita nilisafiri mpaka DC ili kuweza kupata nafasi ya kumsikiliza Rais wangu , kusema ukweli nimesikitshwa sana na speech yake ya kitoto aliyoitoa zaidi na jinsi walivyotastage maswali !
Maswali yaliyoulizwa ni mawili ,na yaliulizwa na wazee wa chama ambao instead ya kuuliza maswali walitumia nafasi hiyo kumpongeza kuchaguliwa kwake ! Jamani hotuba aliyoitoa ni ya kitoto na dhahiri inaonyesha ni jinsi gani alivyo shallow minded .Hotuba ya JK ilibase katika vitu vitatu watz tusisahau nyumbani na tuheshimu sheria za marekani.
hizo hela atakuwa kapora maccm.. ACT njaa kali hata buku wanagombea hata buku!Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.
Du! ACT wameanza kuuana?Mratibu wa chama kipya cha Act Tanzania,jimbo la Musoma mjini Robert Saaya ameuawa usiku wa kuamkia leo kwa kuchomwa name kisu.
Mke wa marehemu alisema kuwa chanzo cha mauaji hayo ni mmoja wa vijana waliofika nyumbani kwa marehemu na kulalamika kuwa mkewe alirudishiwa not I iliyochakaa baada ya kununua mkaa mchana wa siku hiyo
Ameeleza kuwa katika mabishano hayo kijana muuaji alieleza kuwa analetewa siasa jambo aliloeleza kuwa hakubaliani nalo
Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Mara Paul kasabayo amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo ingawa hakusema kama yanahusiana name masuala ya kisiasa.
Inadaiwa kuwa Saaya kabla ya kujiunga name Act Tanzania. alikuwa no mwanachama wa chadema akiwa ni kiongozi wa ngazi ya mkoa
kumbe muuaji unamjua? Basi dili hili mmecheza pamoja!Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.
Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.
Kazi ya chadema hiyo lakini mwisho wao unakuja hawatauwa wote lakini mkuu hebu twambie huyo muuaji kakamatwa au.
Unapomnyooshea mwenzio kidole kimoja kumbuka vitatu navyo vimekuelekea ,sio jambo zuri kumsingizia mwenzio jambo baya kama huna ushahidi wa kutosha.
CCM inakotupeleka sio kabisa, mpk kamanda ameshathibitisha bila uchunguzi wa aina yoyote