Mradi wa uwanja wa ndege Mugumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa uwanja wa ndege Mugumu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Geza Ulole, Jul 19, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,083
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Hivi huu mradi umeishia wapi? kuna mtu ana taarifa za huu mradi kama upo au la?
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  mkuu ni vipi? Mugumu ndo nyumbani?
  Kwa kifupi mkuu
  1. Ule uwanja ni kama ile barabara ya serengeti, madai yake yanafanana.
  2. Wanamazingira wanaupiga vita sana wakiongozwa na kenya, wanadai nyumbu watakuwa hawazai.
  - vilevile mimi ni navyo ona yule mzungu anaye jenga ule uwanja mahesabu yake yaani strtategies naona hazijakaa sawa.
  3. Na ikumbukwe kwamba kuna link kubwa sana kati ya barabara ya kupita hifadhini na ule uwanja
   
Loading...